zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Physical kivipi mkuu?;wakati zile zilikua scanned from the originals.Sijui kuhusu kupinduliwa....lakini binafsi naona toka mwanzo ingetakiwa kufanya kama wanavyofanya sasa.
hauwezi kujumlisha kura kabla ya kuzihakiki physically. media zilikuwa zinajumlisha 34A za online (nipo tayari kusahihishwa)
Kwa hiyo wamarekani ambao kutwa mwawapigia mfano ni wapuuzi?Ukiona hivyo yanapinduliwa hayo.
Toka juzi.
Ila ntashangaa sana Raila akishinda.
Huyo mzee kachoka wamwonee huruma tu wasimpe apumzike.
Form 34A unaweza access hata ukiwa hapo kwako Vingunguti bora uko na internet. Sisi sio nchi ya kiimla na ya ukandamizaji Kama hiyo yenuToka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi.
Sasa, Shida ni nini?
Ni kweli mtandao umekatika?
Wamegundua kuna tatizo litajitokeza?
Wamenyimwa access ya 34A au?
au mimi ndiye mwenye haraka labda wataendelea baadae?
Unataka watoe matokeo gani wakati kufikia jana saa kumi jioni 99% of forms 34A were already uploaded? Kinachofanyika sasa ni verification na mfano ushapewa hapo juu in post #10Wewe usitudanganye,Tume imepiga stop TV stations zote kutoa matokeo
Bado hamjamaliza hilo timbwili...tayari umeshaanza mdomo.Form 34A unaweza access hata ukiwa hapo kwako Vingunguti bora uko na internet. Sisi sio nchi ya kiimla na ya ukandamizaji Kama hiyo yenu
Media walifanya vizuri sana kwani wamewapa wananchi picha ya mchuano. Kama ulivyosema; uko sahihi. Tume ya uchaguzi ilipokea fomu kutoka kila kituo na ikaziweka kwenye mtandao bila kuzihakiki. Hivyo media ilikuwa inatoa mahesabu ya fomu ambazo hazijahakikiwa. Wanachofanya sasa hivi ni kuwa tume ndiyo imeanza kuhakiki na kuhesabu. Kilichofanya media isitishe mahesabu ni kuwa huu uchaguzi uko tight mno mno kiasi amabcho hata kuta moja inaweza kubadili matokeo yote hivyo media wanaona pengine kunaweza kukatokea baadhi ya fomu chache zenye hitilafu.Sijui kuhusu kupinduliwa....lakini binafsi naona toka mwanzo ingetakiwa kufanya kama wanavyofanya sasa.
hauwezi kujumlisha kura kabla ya kuzihakiki physically. media zilikuwa zinajumlisha 34A za online (nipo tayari kusahihishwa)
Hilo ndio ombi la kila kila mtanzania kwenye hili jukwaa. Unashangaa kwa nini vyombo havitoi matokeo wakati kwenu hilo litabakia kuwa ndotoBado hamjamaliza hilo timbwili...tayari umeshaanza mdomo.
Ngoja muanze kukatana vichwa ndio utajua Afrika ni moja.
Form 34A unaweza access hata ukiwa hapo kwako Vingunguti bora uko na internet. Sisi sio nchi ya kiimla na ya ukandamizaji Kama hiyo yenu
Kama umeshasema walikuwa wanaleta matokeo tofauti, tuendelee kuwaamini hao hao?lakini naona haija serve the purpose....maana mpaka jana saa saba usiku kila chombo cha habari kilikuwa na idadi tofauti. Naelewa mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni IEBC, wangeviacha vyombo vya habari viendelee kuonyesha data zilipofikia.
kwasasa hatujui ni nini kinaendelea.
udanganyifu gani The Boss ?
TanzaniaBwege wewe! Nchi gani ni ya kiimla!
Ndugu hizi vitu hupikwa hata huko marekani humuweka wanaemtaka! Demokrasia ni danganya toto maana demokrasia inamatobotobo Sana ngumu kuyafunika!..lakini naona haija serve the purpose....maana mpaka jana saa saba usiku kila chombo cha habari kilikuwa na idadi tofauti. Naelewa mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni IEBC, wangeviacha vyombo vya habari viendelee kuonyesha data zilipofikia.
kwasasa hatujui ni nini kinaendelea.
udanganyifu gani The Boss ?
Habari ushaipata. Ngoja ile siku mtapata uhuru wa kutazama matokeo ya urais kwenye runinga ndio uje na povuBwege wewe! Nchi gani ni ya kiimla!
Haya ni maneno matupu yasiyokuwa na chanzo cha uhakika zaidi ya kutuletea zile numbers za NATION hapa ambazo hazina maana sana.Hakuna TV iliyokuwaq inatoa matokeo, walichokuwa wanafanya ni kuoneshwa kura zilizojumlishwa! Nationa online inaonesha jumla ya kura halali zilizoenda kwa wagombea ni 13,427,287. Bila kujumlisha kura zilizoharibika ambazo pia ni maelfu kadhaa. Jumla ya waliopiga kura ni 14,164,561. Ukitoa kura halali unabaki na 737,274. Hii idadi inawakilisha kwa kiasi kikubwa kura ZILIZOHARIBIKA na kura chache zilitokana na manual registration of few voters. Kwa hiyo kura za kujumlisha ni kama zimekwisha! (almost over ).
Hilo ndio ombi la kila kila mtanzania kwenye hili jukwaa. Unashangaa kwa nini vyombo havitoi matokeo wakati kwenu hilo litabakia kuwa ndoto
Hilo ndio ombi la kila kila mtanzania kwenye hili jukwaa. Unashangaa kwa nini vyombo havitoi matokeo wakati kwenu hilo litabakia kuwa ndoto
It shows our democratic space. But you can't understand coz you don't understandujinga wako ni special.
kwahiyo kila upuuzi unaotokea huko ni lazima ufananishe na TZ kwanza??kama una afadhali basi ni halali.
wacha kujichota ujinga na unajua kabisa unadanganywa.It shows our democratic space. But you can't understand coz you don't understand