luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Babu kaliamsha dude,hali kwa upande wake ni mbaya sasa kaamua kujihami.KIMEUMANA tayari. Babu atalazimishwa kukubali watu waendelee na mambo mengine
Media zilikuwa zinajumlisha matokeo kupitia scanned forms. Lakini kuanzia Jana asubuhi wanazihakiki hizo form zinazoletwa physically kutoka kwa kaunti.Physical kivipi mkuu?;wakati zile zilikua scanned from the originals.
Matokeo hayatangazwi sababu sahivi IEBC inatoa matokeo ya Jimbo (Form 34 C) hivyo imerahisisha maana fomu zipo 200+ tofauti na Form 34A ambazo zipo 48k
Hongereni saana wakuu....Nawaombea tu msije mkamfukuza huyu mzee kama mlivyomlazimisha Miguna Wa Miguna kupanda ndege kwenda Canada. Muwe na uchaguzi mwema.Form 34A unaweza access hata ukiwa hapo kwako Vingunguti bora uko na internet. Sisi sio nchi ya kiimla na ya ukandamizaji Kama hiyo yenu
Mnaona Mme advance kupita kiasi, mnaweza kujutia mbereni huko.Tanzania