Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.

Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini wananyonywa mpaka tone la mwisho na hakuna point of satisfaction daily ni michango na sadaka lakini mapadre wanashinda baa wanakunywa bia tua lakini ukimwambia atoe hata kumi kama sadaka anakwambia hiyo si kazi yake yeye kazi yake ni kunyonya tu.
 
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka...

Tatizi ni unyonyaji wa hizo dini zenu za kikuristo we angalia hi picha

Screenshot_20230227-093714_Facebook.jpg
 
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga...
Mchungaji Mwema Alikwisha Tufundisha na Hatua za kuchukua!
[emoji116][emoji116]
Matthew 13:25-30
[25]lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.

[26]Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.

[27]Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?

[28]Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?

[29]Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.

[30]Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.
 
Kuna kawimbo "toa ndugu, toa ndugu, ulicho nacho, Bwana anakuona mpaka rohoni mwako" unapeleka sadaka yako kwa hofu, unadiriki kula chakula bila mafuta ili upate pesa ya sadaka.

Padre anakula vizuri wewe unakula kwa taabu. Fungukeni sasa, hiyo ni biashara, eti Bwana anakuona mpaka rohoni, yeye kila kitu anacho, anaomba pesa ya nini? Acheni hizo!!!
 
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao...
Hayakuhusu punguani wewe.

huwaoni mashehe wako ngada mkubwa
 
Acha kutafuta sababu za kijinga kama unaenda uislam nenda hakuna wa kukuletea pingamizi.
Unajua nini kinanivuta? Kule hamna unyonyaji wote ni sawa ndo mana wote wanavaa kanzu hakuna kumyenyekea mtu
 
Pesa mfukoni, Elimu kichwani mwisho injil moyoni hapo ndio unakuwa muumini mwema Kosa kimoja uone mtiti
 
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.

Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini wananyonywa mpaka tone la mwisho na hakuna point of satisfaction daily ni michango na sadaka lakini mapadre wanashinda baa wanakunywa bia tua lakini ukimwambia atoe hata kumi kama sadaka anakwambia hiyo si kazi yake yeye kazi yake ni kunyonya tu.
Ndugu, chickenpox,wewe waweza kuwa hata uyasemayo haya kuhusu ila namna ya kuchafua maji ya kunywa vile tembo afanyavyo🤔
 
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.

Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini wananyonywa mpaka tone la mwisho na hakuna point of satisfaction daily ni michango na sadaka lakini mapadre wanashinda baa wanakunywa bia tua lakini ukimwambia atoe hata kumi kama sadaka anakwambia hiyo si kazi yake yeye kazi yake ni kunyonya tu.
Punguza wivu na majungu! Maana hakuna mtu aliyekuzuia kuwa Padre au Mchungaji! Kama vipo na wewe kuwa mchungaji na wewe ili unenepe!

Halafu katika dunia hii iliyojaa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama kisukari, presha, nk unapata wapi ujasiri wa kuwaonea wivu watu wanene!!

Kweli bora ukose mali, upate akili.
 
Kwa hiyo tuendelee kuwapelekea hela mapadre waendelee kunenepa tu
 
Mfano mzuri ni Charles kitima amewajengea wanawake wawili nyumba pale Tanga mjini lakini kanisa halimgusi kabisa na Hana mpango wa kutoa sadaka
Kwa nini na wewe usijipendekeze kwake, ili akujengee nyumba ya kwako? Kulalamika hapa itakusaidia nini?
 
Samahani Mkuu, kuna Padri alikuja kukukaba koo kwa sababu hukutoa sadaka!? Ni vyema uhamie huko kusiko na michango kuliko hizi kelele zako.
 
Back
Top Bottom