Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

Samahani Mkuu, kuna Padri alikuja kukukaba koo kwa sababu hukutoa sadaka!? Ni vyema uhamie huko kusiko na michango kuliko hizi kelele zako.
Chanzo cha huu uzi ni kutaka tu kumchafua Katibu mkuu wa TEC Padre Dr. Charles Kitima. Nothing more.
 
Nasisima na huu mstari
Yakobo 1:27
"Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu."

Na nikiri kwamba bado sijaiona ya namna hii.
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
 
Uzi wa kikyuumaa sana huu.
Mapadre wanajitoa sadaka wao wenyewe ndio maana maisha yao yote wanaotumikia kanisa na kuishi maeneo ya kanisa wanakosa uhuru wa kuishi na kufanya mambo ya mtaani kama sisi wengine wenye wake zetu na watoto na ndugu zetu. Huoni hiyo ni sadaka katika maisha? Au unadhani sadaka kwa Mungu lazima iwe pesa?

Na kama unaona kanisa/mapadri wanakukwaza/kumaliza vijisenti vyako achana nao fanya mengine.
 
Waumini wanaombewa , wachungaji wanachangisha michango Kwa kukusanya fedha toka Kwa waamini.
 
Back
Top Bottom