Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka...
Mchungaji Mwema Alikwisha Tufundisha na Hatua za kuchukua!Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga...
Hayakuhusu punguani wewe.Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao...
Kama hoja zako ndiyo hizi niseme tu hakuna ulijualo pande zote mbili.Unajua nini kinanivuta? Kule hamna unyonyaji wote ni sawa ndo mana wote wanavaa kanzu hakuna kumyenyekea mtu
Ndugu, chickenpox,wewe waweza kuwa hata uyasemayo haya kuhusu ila namna ya kuchafua maji ya kunywa vile tembo afanyavyo🤔Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini wananyonywa mpaka tone la mwisho na hakuna point of satisfaction daily ni michango na sadaka lakini mapadre wanashinda baa wanakunywa bia tua lakini ukimwambia atoe hata kumi kama sadaka anakwambia hiyo si kazi yake yeye kazi yake ni kunyonya tu.
Hii ni kashifa! Una uhakika?Mfano mzuri ni Charles kitima amewajengea wanawake wawili nyumba pale Tanga mjini lakini kanisa halimgusi kabisa na Hana mpango wa kutoa sadaka
Punguza wivu na majungu! Maana hakuna mtu aliyekuzuia kuwa Padre au Mchungaji! Kama vipo na wewe kuwa mchungaji na wewe ili unenepe!Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini wananyonywa mpaka tone la mwisho na hakuna point of satisfaction daily ni michango na sadaka lakini mapadre wanashinda baa wanakunywa bia tua lakini ukimwambia atoe hata kumi kama sadaka anakwambia hiyo si kazi yake yeye kazi yake ni kunyonya tu.
Kwa hiyo tuendelee kuwapelekea hela mapadre waendelee kunenepa tuPunguza wivu na majungu! Maana hakuna mtu aliyekuzuia kuwa Padre au Mchungaji! Kama vipo na wewe kuwa mchungaji na wewe ili unenepe!
Halafu katika dunia hii iliyojaa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama kisukari, presha, nk unapata wapi ujasiri wa kuwaonea wivu watu wanene!!
Kweli bora ukose mali, upate akili.
Kwa nini na wewe usijipendekeze kwake, ili akujengee nyumba ya kwako? Kulalamika hapa itakusaidia nini?Mfano mzuri ni Charles kitima amewajengea wanawake wawili nyumba pale Tanga mjini lakini kanisa halimgusi kabisa na Hana mpango wa kutoa sadaka
Huna hoja ya msingi. Aliyekulazimisha ni nani kuwapelekea hizo hela?Kwa hiyo tuendelee kuwapelekea hela mapadre waendelee kunenepa tu