Uzi wa kikyuumaa sana huu.
Mapadre wanajitoa sadaka wao wenyewe ndio maana maisha yao yote wanaotumikia kanisa na kuishi maeneo ya kanisa wanakosa uhuru wa kuishi na kufanya mambo ya mtaani kama sisi wengine wenye wake zetu na watoto na ndugu zetu. Huoni hiyo ni sadaka katika maisha? Au unadhani sadaka kwa Mungu lazima iwe pesa?
Na kama unaona kanisa/mapadri wanakukwaza/kumaliza vijisenti vyako achana nao fanya mengine.