Kuna maeneo ufiraji na ufirwaji umeenea mitaani hadi 'umepwakukia' majumba ya ibada na hatimae majumba ya ibada hayo yamejikuta hayana namna bali kuukubali tu na kuuhalalisha........sasa tunashuhudia ndoa kwa ajili ya kufirana tu zikifungishwa kila siku huku na wafungishaji nao siku moja moja nao wakiolewa.
Chuki dhidi ya waarabu na watu wa pwani (waislamu) na aina yoyote ya uzushi na uhuishaji wa mambo kwa lengo la kuwadhalilisha hauonyeshi dalili yoyote ya mafanikio. Kadiri dunia inavyozidi kufanywa kijiji na maendeleo ya teknolojia, ndivyo watu wanavyojua ukweli kuwa ni eneo gani la dunia limetawaliwa na ufiraji.......ulaya na marekani.
Tunaambiwa kwa waarabu hakuna watu weusi, lakini nimeiangallia timu ya taifa ya Qatar jana, weusi kibao tu. Bila shaka itasemwa kuwa ni watumwa, wanakuwa siyo watumwa tu ikiwa watachezea au kufanya kazi kwa wazungu. Nguvu zingeelekezwa katika kutatua hii changamoto na sio kutupiana mipira.......ongezeko hili la kutisha kabisa la ufungishwaji wa ndoa kwenye majumba ya ibada, liwe sababu tosha kabisa. Nawasilisha.