Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Hapanawe ni Muarab?[emoji2357]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapanawe ni Muarab?[emoji2357]
Hapana, ila bwana wake muarabu
Kumbe wewe Bwana wakor ni mchungaji MzunguHapana, ila bwana wake muarabu
Alafu uoe umpe shida mtoto wa kiarabuHawataki kukaribisha nuksi na mikosi kwenye familia zao
Ndomana waswahili wakiingia hukoHawataki kukaribisha nuksi na mikosi kwenye familia zao
Huyo naye bwana wako? Unao wangapi? Em leta picha ya bwana wako mwingine
Unajifanya kumkataa mchungaji wako?Huyo naye bwana wako? Unao wangapi? Em leta picha ya bwana wako mwingine
Huyo naye bwana wako? Unao wangapi? Em leta picha ya bwana wako mwingine
Pale unapokuta mleta mada kaoa mthungu[emoji16]Ukiwa unajitambua, unajiamini, mstaarabu, mwenye upendo wa kweli, unaweza kujimudu kimaisha na kumudu kumtunza, kumlinda na kumjali mwanamke, unaweza kumpata na kumwoa mwanamke wa aina yeyote wa taifa lolote duniani, ni wewe tu kuamua unataka mwanamke wa aina gani. Kulalamika na kutumia kichaka cha kubaguliwa kwa rangi au uarabu ni dalili ya kufilisika kiakili. Usipokuwa na vigezo hivyo hutaweza kupata mwanamke yeyote wa maana. Hata mzazi wa binti wa kawaida hapa Bongo hatakubali uwe na binti yake.
Wewe kwann utake kuoa kwao? Hawakutaki ivo usijipendekeze...Habari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]
wabaguzi sanaHabari za majukumu wakuuu,

Hoja siyo mimi ila hoja ya msingi ni hyo ya juu[emoji3516]
wezi kabx[emoji2357][emoji16]Ndomana waswahili wakiingia huko
Wanaambiwa walete mahari ya dhahabu kg 3 ....hapo mtu nduki [emoji2088] [emoji2088]
Ova
Ehe taja tena bwana wako mwingineUnajifanya kumkataa mchungaji wako?
Anayekuchunga chunga?
Ehe taja bwana wako mwingine