Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Unazo data zozote za kuthibitisha haya au ndiyo mrengo wa kidini umekukamata?
wewe mwenyewe ukweli unaujua lakini unapambana kuukimbia. na mara zote tukigusia hili huwa mnatuzima kwamba tunachukia dini, ila deep in your heart you know this truth. be honest bro.
 
siku zote tukigusia hili huwa mnasema liko motivated na religion, ndio maana watoto wenu wanaendelea kuharibika huko zanzibar na Tanga. kama Tanga na Zanzibar kungekuwa na msaada wa hiyo dini ushoga ungekuwepo? be honest. nakama mtu huyo wa pwani awe muislam au mkristo au mpagani anainamishwa ukuta, unataka tumfurahie tu? what do you expect?
 
wewe mwenyewe ukweli unaujua lakini unapambana kuukimbia. na mara zote tukigusia hili huwa mnatuzima kwamba tunachukia dini, ila deep in your heart you know this truth. be honest bro.
Hapana cha ukweli kwa sababu munalishwa matango hayo huko kwenye imani yenu wakati wao wanayaficha ya kwao. Ni hivi miaka ya karibuni ndiyo waumini fulani walianza kushitakiana kuhusu hayo na siri ikatoka nje.
 
Lile kanisa la pentekoste la mashoga kule Mbeya ,hivi lipo Zanzibar au pwani? Bila kumsahau Nabii wenu Tito ,naye ni mtu wa Tanga?
 
Sasa wewe kwenu Yombo Kijiwe Samli na umepanga Buguruni kwa Madenge au umejenga Kimara Bonyokwa,ukaoe Mtoto kakulia Posta au Masaki na kasoma shule za maana wakati wewe ulisoma Shule ya Msingi Vingunguti kwa Ali Mboa na ukaishia form four Kikwajuni Secondary!!baada ya
kufeli ukaanza kuuza mitumba Ilala!!wapi na wapi,wewe oa wakina Mwajuma Ndalandefu wa Tandale kwa tumbo!
 
Hawa tuanzishe kampeni ya kuwafukuza kwanza cyo kwao wabaguzi wakubwa hawa
 
Hapa sio suala la rangi, ni suala la ukwasi. Ukitaka kujua hili halihusiani na rangi, nenda kapose mtoto wa tajiri wakati ww masikini. Ukiwa na mali za kutosha unaoa hata mchina.
 
Hapa sio suala la rangi, ni suala la ukwasi. Ukitaka kujua hili halihusiani na rangi, nenda kapose mtoto wa tajiri wakati ww masikini. Ukiwa na mali za kutosha unaoa hata mchina.
Warab hata choka mbaya wana iyo kasumba tu
 
Reactions: Tsh
Lile kanisa la pentekoste la mashoga kule Mbeya ,hivi lipo Zanzibar au pwani? Bila kumsahau Nabii wenu Tito ,naye ni mtu wa Tanga?
We mwenyw na dini yako bado mwarab hakuthamin bal unajithaminisha kwake tu
 
Mungu wako Mzungu huyu anakuambia

View attachment 2424179
you can never win that battle, Ukristo haujawahi kuhalalisha huo uchafu, never has the Bible done that. hata ukiona watu wanafanya jua ni akili za wazungu tu ila sio Bible. pili, ukweli moyoni mwako unaujua aina ya maisha watu wa Malindi, Mombasa, Tanga na Zanzibar. ukiwa mkweli wa nafsi yako hautabishana na hili. weka dini pembeni, jadili uhalisia. and mind you, pwani hawapo waislam peke yake. don't run from the truth.
 
[emoji3][emoji3]sawa mkuu.
 
We mwenyw na dini yako bado mwarab hakuthamin bal unajithaminisha kwake tu
Jibu swali

Lile kanisa la pentekoste la mashoga kule Mbeya ,hivi lipo Zanzibar au pwani? Bila kumsahau Nabii wenu Tito ,naye ni mtu wa Tanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…