Katika kazi nyepesi nitakayopewa hapa duniani ni kumtoa Genta mchezoni.Ntakuuliza swali, makaburu Ni weusi? Tunisia, Egypt, Morocco je ni weusi. Endelea na matusi yako, lakini ukiona mbwa ana jiuma mkia ujue ana kichaa
Kuniua au?Katika kazi nyepesi nitakayopewa hapa duniani ni kumtoa Genta mchezoni.
Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu. We ni kuchallenge tu ideology yako... that's all what it takesKuniua au?
Unaweza kweli Kumpa sana 'Changamoto' hasa za 'Kiitikadi' Mtu ambaye ana 'Mseto' wa 'IQ' kubwa ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao Mkuu?Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu. We ni kuchallenge tu ideology yako... that's all what it takes
Wanazengo wanalo jibu la hili swali 😊Unaweza kweli Kumpa sana 'Changamoto' hasa za 'Kiitikadi' Mtu ambaye ana 'Mseto' wa 'IQ' kubwa ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao Mkuu?
Kwamba wahindi na waarabu hawawatongozi wafanyakazi wao? Hebu fanya tena utafiti mkuuMwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama Dukani au Ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa ( siku hizi mnawaita Pisi Kali ) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Unaweza kweli Kumpa sana 'Changamoto' hasa za 'Kiitikadi' Mtu ambaye ana 'Mseto' wa 'IQ' kubwa ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao Mkuu?
Wewe ni Mpumbavu, mwenye Chuki na Wivu huku ukiwa na Utahaira uliochangamka. Tena bado hujachelewa kuwahi Kitanda chako pale Milembe.Wewe ni mpuuzi mjivuni aliyechangamka tu!
Sorry mkuu ,nipe ABCs kidogo hata link...nifaham kiundan hiii kuhus clinctonNgono kazini ni kitomvu cha uzembe hata Clinton ilimuaibisha sana akiwa rais.
Hahahaha taratibu mkuu,Najijua nilivyo na 'Wivu' wa Kutukuka Mkuu hivyo nadhani kwa hiki ulichokiweka tu hapa leo nasema rasmi kuwa sitakuja 'Kuoa' tena potelea mbali!
Prof. Majalala style type of answering! Umeulizwa badala ya kujibu wewe unatukana.Watu kama Wewe wenye 'IQ' ndogo ndiyo mnasababisha Wazungu kila Siku watufafanishe Sisi Weusi (Waafrika) na Nyani au Sokwe au Ngedere.
Huu uzoefu ni wa wapi?Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani Kila Mwafrika ni mweusi?
sio kila mwafrika ni mweusi kubali tu mzee hapo umeingia chaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimetumia neno 'Mweusi' kama Kuwakilisha tu Sisi Waafrika ila kwakuwa 'IQ' yako ni ya 'Punje ya Mchele' jambo jepesi tu hili umeshindwa kulijua.
Nenda cask mwanza uone dada zetu wanavoliwa na waarabu,wahindiWatu weupe hasa waarabu na wahindi wana asili ya dharau sana sana. Hivyo wakati mwingine ku sex na mtu mweusi anaona kama anajidhalilisha. Hasa jamaa na ndugu zake wakijua
Ni mtazamo wangu tu mkuu.
ilikuajeNgono kazini ni kitomvu cha uzembe hata Clinton ilimuaibisha sana akiwa Rais.
Sorry mkuu ,nipe ABCs kidogo hata link...nifaham kiundan hiii kuhus clincton