Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Huu uzoefu ni wa wapi?
Ni huko arabuni na uhindini(Bara Asia) au kwa hapa Bongo?
Kama ni kwa hapa Bongo, je una hakika wakiwa huko kwao hali ndiyo hii hii?
Kuna kisa kimoja cha miaka mingi, familia moja ya ki-baniani(tuliwaita Mabaniani), walisema kwao wamekatazwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wabongo kwa kuwa kama watawapa mimba au kuzaa nao, watadai urithi na pia familia yao itakuwa ndugu na familia ya weusi. Kipindi hicho kondomu hata hatuzijui. Ni kavu kavu, nyama to nyama!
Hayo tuliyajua baada ya kijana baniani kumpenda mdada mswahili, aligombana sana na familia yake hata wakataka kumpeleka kwao, jamaa akatoroka. Familia yao ilikuwa na gereji kubwa na walikuwa tajiri sana.
Inasemekana baba wa kijana aliamua yaishe, akawaita jamaa na mpenzi wake, akawaambia hataki mjukuu kutoka kwao, kama wanataka baraka zake, wakubali kufanya mapenzi kinyume na maumbile ktk kipindi chote cha mahusiano yao!
Inasemekana mzee aliahidi kumpa bint gari iwapo ataahidi kufanya hivyo!
Inasemekana, bint alikubali na wakawa huru kwa mapenzi yao!
Na wakawa wapenzi maarufu miaka ile! Ila watu tukawa tunajua jamaa anapita mlango wa uani!