Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu. We ni kuchallenge tu ideology yako... that's all what it takes
Unaweza kweli Kumpa sana 'Changamoto' hasa za 'Kiitikadi' Mtu ambaye ana 'Mseto' wa 'IQ' kubwa ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao Mkuu?
 
Unaweza kweli Kumpa sana 'Changamoto' hasa za 'Kiitikadi' Mtu ambaye ana 'Mseto' wa 'IQ' kubwa ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao Mkuu?
Wanazengo wanalo jibu la hili swali 😊
 
Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama Dukani au Ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa ( siku hizi mnawaita Pisi Kali ) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.

Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Kwamba wahindi na waarabu hawawatongozi wafanyakazi wao? Hebu fanya tena utafiti mkuu
 
Wewe ni mpuuzi mjivuni aliyechangamka tu!
Wewe ni Mpumbavu, mwenye Chuki na Wivu huku ukiwa na Utahaira uliochangamka. Tena bado hujachelewa kuwahi Kitanda chako pale Milembe.
 
Waarabu au wahindi sinauhakika kuhus kazini ila kuhus wafanyakaz wa ndani,ndio wanaaongoza kutembea na wadada.Na ukikuta so jamii yao,basi atafanywa 071 na kutishiwa asiseme miaka na miaka mpk basi.
 
Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.

Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Huu uzoefu ni wa wapi?
Ni huko arabuni na uhindini(Bara Asia) au kwa hapa Bongo?
Kama ni kwa hapa Bongo, je una hakika wakiwa huko kwao hali ndiyo hii hii?

Kuna kisa kimoja cha miaka mingi, familia moja ya ki-baniani(tuliwaita Mabaniani), walisema kwao wamekatazwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wabongo kwa kuwa kama watawapa mimba au kuzaa nao, watadai urithi na pia familia yao itakuwa ndugu na familia ya weusi. Kipindi hicho kondomu hata hatuzijui. Ni kavu kavu, nyama to nyama!
Hayo tuliyajua baada ya kijana baniani kumpenda mdada mswahili, aligombana sana na familia yake hata wakataka kumpeleka kwao, jamaa akatoroka. Familia yao ilikuwa na gereji kubwa na walikuwa tajiri sana.
Inasemekana baba wa kijana aliamua yaishe, akawaita jamaa na mpenzi wake, akawaambia hataki mjukuu kutoka kwao, kama wanataka baraka zake, wakubali kufanya mapenzi kinyume na maumbile ktk kipindi chote cha mahusiano yao!
Inasemekana mzee aliahidi kumpa bint gari iwapo ataahidi kufanya hivyo!
Inasemekana, bint alikubali na wakawa huru kwa mapenzi yao!
Na wakawa wapenzi maarufu miaka ile! Ila watu tukawa tunajua jamaa anapita mlango wa uani!
 
Nimetumia neno 'Mweusi' kama Kuwakilisha tu Sisi Waafrika ila kwakuwa 'IQ' yako ni ya 'Punje ya Mchele' jambo jepesi tu hili umeshindwa kulijua.
sio kila mwafrika ni mweusi kubali tu mzee hapo umeingia chaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sorry mkuu ,nipe ABCs kidogo hata link...nifaham kiundan hiii kuhus clincton

Mbona ni issue maarufu sana nenda tu google mkuu au youtube utaipata, clinton alimchakata binti aliyekuwa anafanya kazi white house ikajulikana likawa swala kubwa na wali recordiwa mazungumzo yao
 
Back
Top Bottom