Ras Rizzy G
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 225
- 241
nakubaliana na ww ndugu.but who is CAR??Hadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!
Wajinga basiWarabu hawauani ila wanachonganishwa.
katika kukaa kwako hujawahi kusikia mtu anavunja ndoa ya mtu mwingine,ukifahamu hilo tambua kwamba uchonganishi upo na binaadam hawafanani.siri ya dunia ni pana na pesa ni hatariMarekani ndo anawashiia akili?,Marekani ndo anatoa amri kwamba wauane?,unataka kutuaminisha kwamba wao hawatumii akili kujua lipi baya na lipi jema?.
kuendekea kusingizia Marekani hakutatui matatizo..
Acheni kusimgizia Marekani kwa kila kitukatika kukaa kwako hujawahi kusikia mtu anavunja ndoa ya mtu mwingine,ukifahamu hilo tambua kwamba uchonganishi upo na binaadam hawafanani.siri ya dunia ni pana na pesa ni hatari
Central African Republic... huko hali ni mbaya sana hadi imefikia mwafirika anakula nyama ya mwenzie.... Yaani Ulimwengu umeipa kisogo yanayotokea huko !!!nakubaliana na ww ndugu.but who is CAR??
Ujinga upo na kila taifa lina ujinga wake kinamna Fulani..... ila tunapishana kwa asilimia hivi!!Wajinga basi
Rejea :-Sikweli kama wanachonganishwa. Nature yao, kumbuka hata dini yao ilienezwa kwa vita"JIHAD" walichonganishwa na nani wakati ule? Apengine ni ukatili wa kuzaliwa kizazi chao. La maana ni kuwa kuuana kwao kuna faida sana kwa mataifa mengine.
Wachache wenye kuelewaHadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!
Pumba tupu.Laana ya damu walomwaga wakati wa kueneza dini yao,
Hakuna kuchonganishwa wala nini, ni laana imefanya wawe na miroho mibayaaaa,
Km sababu ni kuchonganishwa basi hakuna kiumbe mjinga km wao maana hata kuku ukiwachonganisha wakapigana sana bila suruhu huamua kukimbia kila mmoja kivyake,sasa km kuku wanaweza kuepuka kuchonganishwa inakuaje wao karne na karne wanachonganishwa na kuuana bila kustuka,
Hawa watu wanaroho mbaya,
Wewe ndo ufanyie marekebisho ubongo wako unaeamini propaganda za medias ambazo zilianzishwa rasmi kwajili hiyoHQ Yao ni ndogo kuliko funza ona wanavyojimaliza wenyew eti unaua ndugu zako 100 unaenda kuwaambia wazungu me ndo nimewaua wale yani hata bashite hana akili izi tusiseme tu waarabu ila ukweli dini ya kiislam mafundisho yenu inabid muyaedit hasa nyie mlioenda shule nasema ivi kwasababu angalia zile ngedere za Nigeria bokoharam wamewaiga waarabu matokeo yake wamewamaliza ndugu zao
duh.hii ni too much..hii naskia ipo pia katika gereza moja uko rwanda.sijui kama ishaisha.wafungwa wametelekezwa hadi njaa inawapelekea kulana...ndio maana trump akasema yale japo siyo wote tupo hivyo.viongoz wetu ni wanafki....i hate all these evil things happening kwa kwelCentral African Republic... huko hali ni mbaya sana hadi imefikia mwafirika anakula nyama ya mwenzie.... Yaani Ulimwengu umeipa kisogo yanayotokea huko !!!
mbona ata manabii kama yesu na wengine waliishi huko.acha kuleta mawazo finyuAsili ya waarabu ni Arabian Penisular . Ni jangwa hakuna maji. Scarcity ya maji inasababisha scarcity ya chakula ambayo inasababisha tabia ya ubinafsi,unyama,ukatili na fujo.
Hali hyo ikiendelea kwa muda umrefu inakuwa embeded kwenye culture ya watu husika
Waislam kutomwamini yesu umeipata wapi ?Ndio maana ,Wayahud ,hawamuamini Yesu,wanamwita mtoto wa nje ya ndoa.