Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Sikweli kama wanachonganishwa. Nature yao, kumbuka hata dini yao ilienezwa kwa vita"JIHAD" walichonganishwa na nani wakati ule? Apengine ni ukatili wa kuzaliwa kizazi chao. La maana ni kuwa kuuana kwao kuna faida sana kwa mataifa mengine.
hio Jihad ya kwanza walichokonolewa....
 
Nakumbuka vita vya ANGOLA
Naviona vita vya south Sudan..
Nakumbuka Mauaji ya CAR...
Nasikia hapo Rwanda palitokea...
Natafakari Korea, natafakari machafuko ua Sout
h America,nk nk
Ubaya haunaga dini wala kabila au hata Taifa !!
Ni kweli nakubaliana na wewe ila kuna some exceptions katika baadhi ya maeneo
 





WENGI AWAJUI TU! WASHABEBESHWA UJINGA BALA BALANI NA KUROPOKWA, WENGI WAO WANA CHUKI ZA KIDINI.
WENGI WATOA POST KWENYE UZI HUU CHUKI TU ZA DINI ZIMEWAJAA UTAZANI WANAZIJUA DINI ZAO, KUMBE UCHAWI MWINGI VICHANI MWAO.
 
Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayo
Hebu vitaje kwa sasa vita wanavyopigana waarabu kwa ajili ya dini?
 
popbwino hebu watake radhi warabu, kwani isengekuwa wao hivi sasa sijui ungekuwa na ustaarabu gani?
 
Yale makanisa yaliyochomwa Zanzibar siyo tatizo? Hilo tu kwanza. Hao popote walipo ni shida. Ugomvi na mauaji ndo wimbo. Kama Zanzibar isingekuwa ktk muungano ingekuwa kama somalia tu. Umesahau migogoro ya Mombasa ?
Zanzibar yalikuwepo makanisa kabla ya mapinduzi lakini hatujasikia waislamu wakiyachoma moto, hayo yaliyochomwa moto ni baada ya muungano.
 
IQ yetu iko juu kaka maana mbongo umpe Bomu akalipue watu hawezi Fanya ujinga huo maana ana uwezo WA kurizoni kwa nn aue na hiyo ndo IQ .sio unaambiwa kalipue unaenda tu kisa umedanganywa na mambo ya dini
Ngosha wa Mwanza omba yasikukute, wale wanaokwenda kujiripua kwa mabomu usidhani wanapenda, lakini dhuluma ndiyo inayowafanya kufikia hatua ile, ikiwa baba, mama, kaka wameuliwa na dada zako wamenajisiwa wewe utakuwa na moyo gani? Hiyo IQ unayoizungumzia utaifanyaje? Sisi watanzania tuombe amani usisikie kunako vita.
 


UNAONGEA KWA AKILI YAKO AU UNAONGEA KWA UPOFU WAMACHO YAKO?
WACHA KUJIDANGANYA KWA UPEO WAKO MDOGO.
ELIMU NDOGO UNAYO LAKINI AIJAKUSAIDIA KITU. TUPE KASORO ZAKE KIUSHAIDI KATIKA KITABU CHAO WAISLAM.
 
Hakuna jihad nafsi wacha uwongo! Jihad ni vita dhidi ya makafiri au wasioamini.

YANI WEW NIKIPOFU KABISA UJUI UNACHO ANDIKA, WACHA KUJIAIBISHA..nakama shule ulienda basi haijakusaidi chochote
 


safi sana mkuu. bigup
 
Tatizo mnaisoma biblia tofaut kabisa, biblia sio kama quran mnayoiaoma nakuitafsiri kama gazet li la udaku bible inasomwa kwa mwongozo wa roho mtakatifu

ACHA KUJIDANGANYA WEWE, TUAMBIE WEWE(Mt. 12:38-40) (rejea Yona 1:15-2:1). uisome kwa roho yako wewe mtakatifu.
 
Kibinaadamu na kiutu au kiungwana nipe historia fupi yenye ukweli :~ Taifa/KABILA gani halijauana au kuvamiana au hata kukandamizan?...??
 
Dini ya Uislam ndio tatizo.Kipo kitu nyuma ya pazia ambacho hata wao wenyewe inawezekana hawakijui.Ngoja niishie hapo nisije nikasingiziwa islamophobia bure.
Dini ya Uislam haina tatizo

na si kila baya,husukumizwa katika Dini

Dini inabaki kuwa safi bila pingamizi
lakini mwana dini anaweza kuchafuka na kuchafua mazingira fulani kwa namna isiyoelezeka
imma kwa ujinga wake wa asili au ujinga wa kurithi

Uislam upo mbali na kila aina ya mauwaji yanayoendelea Duniani
Uislam,unajua hadhi na thamani ya tone la damu na utu wa mtu
hili hawezi kupinga,isipokuwa mjinga aliekomaa

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayo
Sunni hawezi kukaa na Shia mpaka mwisho wa Dunia

Kwasababu,Mashia wapo nje kabisa ya Uislam

Kiujumla,Ushia ni Dini,chimbuko lake ni uyahudi

Wala hana nasaba na Uislam,Hata wakidai unasaba huo mara alfu

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Najua itakuwa vigumu kunielewa,kwa hiyo naamua kunyamaza.Usiku mwema.
 
Hahahaha nmecheka sana kwakweli.. Nadhani hujui dini ya kikristo jinsi ilivyoenezwa..! Nadhani watu wengi wasiojua historia wataona uislamu kama dini ya ajabu sana hasa kutokana na violence zinazotokea hivi karibuni lakini nakwambia katika historia ya hizi dini kuu mbili, ukristo ndo umetoa roho za watu wengi zaidi.

Kinachoubeba ukristo ni kwamba madhila yake mengi yalitokea kipindi cha dark ages karne hizo kiasi cha kwamba historia kubwa imeshasahaulika..! Lakini kipindi kile hata ukiwa na nywele nyekundu tu, basi wewe ni mchawi and so kifo kinakuita..! Ukiwa na dini za asili jua you will be burned alive as heretics..! Mambo hayakuwa kama hivi sasa ambapo ukristo unaonekana kuwa ni wa amani sana..

Na hapo bado sijazungumzia issue za Crusade (jihad ya kikristo), vita iliyopiganwa zaidi ya miaka mia mbili ikiwa ni kampeni ya wakristo kusambaza dini na wakati huohuo kurudisha maeneo yote yaliyochukuliwa na waislamu during the rule of Ottoman empire.
 
There is no future without the past and the present
 
Population yao katika miaka kumi kumi inakuaje? Je, inapungua au inaongezeka? Hayo mauaji yana mchango kiasi gani kwenye kupungua hiyo population ukijuimuisha walio Arabuni na nje ya Arabuni?

Yawezekana hiyo ni moja ya natural population control. Nasema natural kwa sababu kwenye ubongo wao wamewekewa 'plug-in' ambayo inakuwa activated wanapoona misongamano!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…