Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Mkuu, wanakuambia duniani binadamu wenye highque ndogo akitoka muafrika anaingia muarabu,hawa watu ambao wamekosa elimu ya falsafa!! Wana elimu ya dini tu
Mwafrika ana highQ kubwa kuliko uwezo wa kipimo cha highQ
 
Ni laana ya mababu zao kuwatendea mabaya watumwa.Kuna suala la uelewa ni rahisi sana kuwachonganisha waafrika au waarabu wakauwana wao kwa wao bila hata kuhoji.Ukitaka waarabu wamalizne waaminishe wanapigania dini hawatajali wala kuhoji.Ipo Shida kwenye mfumo wa jinsi Ya kufikiri.
 
Mnadanganyana huko makanisani kama kuna sheria hiyo katika uislamu.Shtuka usidanganyike.Hakuna sheria hiyo ya kuuwa ulipwe pepo,anayeuwa yoyote katika uislamu ni motoni tu.
Hizi stori kanisani sijawahi zisikia acha kukurupuka! Muulize kazisikia wapi?
 
Hakuna jihad nafsi wacha uwongo! Jihad ni vita dhidi ya makafiri au wasioamini.
Soo kumbe mm nipo dunian ili wanifanyie jihad ili wao waende pepon,hey Jews even and again even if Arabs and all Muslims fight against you,I give you all my attention to fight against all Arabs and Muslims in the whole world.my self am mossad mzembe
 
Kote ulikotaja yalifanyika mauaji Mara moja na wakaacha kuuana baada ya kujifunza kitu,mauaji ya waarabu ni endelevu toka walipoanza mpaka sasa naamini mpaka kesho
Na milele, unless Mola awa hurumie!
 
Mnadanganyana huko makanisani kama kuna sheria hiyo katika uislamu.Shtuka usidanganyike.Hakuna sheria hiyo ya kuuwa ulipwe pepo,anayeuwa yoyote katika uislamu ni motoni tu.
Utakuwa bado hujakomaa vizuri kidini wewe.....
 
Kuna watu wanachanganya waarabu na uislam. Wamesahau kuna waarabu ambao sio waislam. Vilevile kuna waislam ambao sio waarabu. Get me right
 
Ni laana ya mababu zao kuwatendea mabaya watumwa.Kuna suala la uelewa ni rahisi sana kuwachonganisha waafrika au waarabu wakauwana wao kwa wao bila hata kuhoji.Ukitaka waarabu wamalizne waaminishe wanapigania dini hawatajali wala kuhoji.Ipo Shida kwenye mfumo wa jinsi Ya kufikiri.
Kama ulisoma history vizuri nchi gani watumwa walikua wanapelekwa. Kumbuka sugar plantations in America. Triangular trade. For over 200 years walikua wazungu na sio waarabu
 
Kama ulisoma history vizuri nchi gani watumwa walikua wanapelekwa. Kumbuka sugar plantations in America. Triangular trade. For over 200 years walikua wazungu na sio waarabu
Wengi America Lkn hawakutendewa unyama sana km sehemu nyingine ndo maana kizazi chao kipo hadi Leo
 
Tatizo mnaisoma biblia tofaut kabisa, biblia sio kama quran mnayoiaoma nakuitafsiri kama gazet li la udaku bible inasomwa kwa mwongozo wa roho mtakatifu
 
Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayo
Zaidi ya 70% ya waislam sio waarabu. Alaf wa waarabu ndio watu was kwanza kuanza kustaarabika.....Egypt is the first civilization. Arabs are the fathers of maths, philosophy, law, etc remember
 
mimi ninawazo tofauti na hii hali...kuna uzi umeandikwa humu kwenye hii forum ya CIA...hebu isome vizuri...wenzetu hawaendi pigana tu kwa sababu...wanaenda pigana kwa ajili ya maslahi...yaani ule uzi umemaliza kila kitu...huwezi kuta nchi za magharibi zimeenda tu sehemu bila maslahi....Iraq,Libya...Syria...huko mashariki ya kati kuna either mafuta,madini au gas...uliza stock ya US ya mafuta ni kiasi gani halafu njoo utusaidie kwa hilo....niliwahi ongea na watu wa Rwanda kipindi fulani kwanini walipigana vita ukiangalia chanzo ni kama ujinga....ila ile ilikua ni njia ya kuingia Congo kwa ajili ya madini hivyo walikua hana jinsi ilibidi waanzishe ile kitu ili iwe rahisi wao kuchota vitu kule Congo...ingawa historia wanakuambia kua kisa ni utawala kua kabila moja walikua wanaviongozi wengi and wasomi kuliko wengine...but I reality hawa jamaa wanatafuta mali ndio vita huanza pigwa by any means itakua vita....wakitaka


na ndivyo tukicheza Tanzania itakuja kuwa hivyo...Ukiangalia tumepata GAS, madini...
Now naona kama kunakaharufu kaumbaaali ka uchochezi...na nahisi wataupenyeza kupitia vyama vya siasa..
Hawa wazungu wajanja sana.
 
Sababu hawajafunzwa Upendo wamelelewa kwenye misingi ya chuki,ukitaka wamalizane waaminishe wanapigania dini hawatajali nani japo wanatoka imani moja.
Hakuna mahali duniani,kabila,taifa,rangi,wasio na dini na walio na dini,kukosekana wauwaji na wahalifu.
1.Sudani kusini ni wakristo,weusi,wako afrika,wanauwana wenyewe.
2.Ireland ya Kaskazi ni wakristo wazungu,wanauwana mwenyewe kwa wenyewe,karibia miaka 40 sasa.
3.Warusi hawana dini,wameuwana wenyewe kwa wenyewe.
5.Wakongo wanauwana wenyewe kwa wenyewe.
6.Ulaya nzima walipigana vita karibia miaka 30,na kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
 
Imani hiyo ulio nayo ni sawa na imani za watu kuamini kua Yesu ni muumba.

Sipo tyari kulumbana na uzushi ulioaminika.

Waislam wapo Zanzibar kwa asilimia 98 lakin hakuna huo upuuzi unaoamini.

Waislam wapo nchi nyingi sana lakin huo upuuz unaoamini hakuna.

Jiulize swali la msingi kwanini Iraq kwanini Siria Kwann Libya. TUMIA AKILI USITUMIE FUVU KUFIKIRI
Upo sahihi kabisa. vita vyote tunavyoviona Dunia kuna mkono wa mabeberu wa Ulaya nyuma yake. wakati mwingine watu hawataki kutumia akili zao kufikiri. Wazungu ni watu wabaya sana kuliko tunavyofikiri.
 
Kutofunga ndoa, ndoa za jinsia moja si mada iliyoletwa hapa. Mada ni kwa nini Waislam wanapenda ugomvi? Tujadili hapa kwanza. Kama ni kufirana madhehebu ya dini fulani ndo wanaongoza. Nahisi waarabu ni waasisi wa ku****. Wengine wameiga tu ingawa sina ushahidi na uelewa wa kutosha katika masuala hayo. Nataman nijue vita kila siku kwa nini?

Na mada siyo kwa nini waislamu wanauwana ( Kwa mujibu wa mleta mada ni kwa nini waarabu wanauwana,hakutaja dini ) lakini wewe kwa uelewa wako umeelewa kwa nini waislamu wanauwana.

linapokuja swali tulia litafakari ndio ujibu,usikurupuke.

Kwa taarifa yako kuna waarabu wakristo kwenye mataifa mengi ya kiarabu ikiwemo Syria,Lebanon,Jordan.Iraq,Iran,nk.

kwa hiyo
ukisikia waarabu usidhani wote ni waislamu.
 
Back
Top Bottom