Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz

Japo swali sio la msingi. Ila mbona hili swali limejibiwa humu kuwa inategemeana na ngozi na ngozi na wala sio lazima imtoke mtu
 
Hizo nisugu ila wabongo tunashobo sana unakuta mmatumbi anasugu usoni wakat hata nasrah au Ismail haniye hana, ayatollah mwenyewe hana
hakuna muislam zaidi ya yule muumini wa kweli,uliowataja wanaweza kuwa na daraja la chini la uumini kuliko muislam wa Geita.note it
 
Hizo nisugu ila wabongo tunashobo sana unakuta mmatumbi anasugu usoni wakat hata nasrah au Ismail haniye hana, ayatollah mwenyewe hana
Kwa hiyo kumbe ww huwa unaenda kuabudu kwa kumuangalia fulani anaabuduje?
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Waislamu wa ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu ..hawana akili yoyote kichwani ...akili zao ni kama akili za wanawake tu...nilisema duniani hakuna waislamu kwa sasa bali kuna WAISIHARAMU TU.
 
Waislamu wa ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu ..hawana akili yoyote kichwani ...akili zao ni kama akili za wanawake wanawake tu...nilisema duniani hakuna waislamu kwa sasa bali kuna WAISIHARAMU TU.
hata wangekuwepo na hata uliopo huwezi kuwapenda.
 
Ni kwa sababu hawaswali sana wala kusugua vichwa vyao ili kuwa na sijda kuwakoga wengine wakiamini kuwa itakuwa ni taa peponi. Wao ndiyo waliotunga hizi ngano. Wanazijua na hawaziamini hata kidogo. Tangu lini storyteller au storywriter akahangaishwa na wahusika aliowatengeza mwenyewe?
Sijawahi kujua kwamba ni Bulb 💡 yakumulika mbingu ? Ili wapate nini wale mabikra ?
 
hata wangekuwepo na hata uliopo huwezi kuwapenda.
Mimi sipendi wapumbavu hata siku moja ....siangalii huyo moumbavu ni mwamposa au omar...mpumbavu ni mpumbavu tu tena akiwa na cheo ndiyo mbaya zaidi ...cheki samia bushiri alivyo tamalaki upumbavu toka unyayoni hadi utosini
 
Ati na kwamba wanasujudu sehemu laini yenye sufi safi , huku anakita bichea kwenye mkeka lazima apate sugu.
 
Kwa mujibu wake amesema kuwa wanao sujudu sio waisilam tu hata mabudha na wakristo wanasujudu lakini hashangai wabudha na wakristo na mabudha kutokuwa na sijda pamoja na kuwa wana sujudu ila wakati huo anawashangaa waarabu.
Sasa hicho si kituko?

Kwani hata hapa Tz ni waisilam wangapi wenye sijda?
Kwenye mia unaweza kukuta mmoja tu tena yule ambaye umri wake umesha sogea.
Watu kwa sasa ni ngumu kupata sijda kwa sababu dunia imebadilika watu siku hizi hawasalii kwenye mkeka migumu bali wanasalia kwenye mazuria malaini.
Swali hujajibu, kwanini waislam weusi ndo wenye digida peke yao? Hata kama ni waçhache, kwanini?
Wanaosujudu wasio waislam hawana sigida, wawe waarabu au siyo waarabu.
SWALI KWANINI WAISLAM WEUSI TUU NDO WAWE NA SIGIDA?
 
Waislamu wa ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu ..hawana akili yoyote kichwani ...akili zao ni kama akili za wanawake tu...nilisema duniani hakuna waislamu kwa sasa bali kuna WAISIHARAMU TU.
Kwa hivyo mama yako hana akili? Sasa kama aliekuzaa hana akili wewe utakuwa na akili? Sisi waislam ngozi nyeusi tunaakili kuliko nyinyi wakiristo ngozi nyeupe, mfano mdogo tu, waislam ngozi tunapinga ushoga nyinyi wakiristo ngozi nyeupe mnapenda sana ushoga
 
Kwani wakiristo hamsujudu?
Hapa tunaongelea ile sugu nyeusi kwa waafrika weusi tuu.
Angali hapo kwenye comments wenzio wametoa ushahidi wa wakristo kusujudu. Wajibu hao.
Hapa tunaongelea àlama nyeusi inayotokana na kusugua mswala wakati wa kusujudu.
 
BIBLIA NA SIJDA

Sijda katika Agano la Kale

1. Abrahamu Kusujudu
Abrahamu alisujudu mbele ya Mungu alipokuwa akizungumza naye, kuonyesha unyenyekevu na heshima:
"Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akasema naye."
(Mwanzo 17:3)

2. Musa na Haruni Kusujudu
Musa na Haruni walijitupa kifudifudi mbele za Mungu kuonyesha ibada na heshima:
"Kisha Musa na Haruni wakaanguka kifudifudi mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli."
(Hesabu 14:5)

3. Daudi Kusujudu
Mfalme Daudi, akijua ukuu wa Mungu, alisujudu kwa unyenyekevu:
"Njooni, tumwabudu na kumsujudia, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu."
(Zaburi 95:6)

4. Danieli Kusujudu
Danieli alisujudu mara tatu kila siku, akimwomba na kumsifu Mungu:
"Alikuwa akiingia katika chumba chake cha juu, penye madirisha yaliyoelekea Yerusalemu. Alikuwa akipiga magoti na kusali mara tatu kwa siku."
(Danieli 6:10)

Aya za Qur'an Zinazozungumzia Sijda

1. Amri ya Kusujudu kwa Mwenyezi Mungu
"Na kwa hakika tuliwaumba wanadamu na majini ili waniabudu."
(Qur'an 51:56)
Hii inaonyesha kuwa kusujudu ni sehemu ya lengo la kuumbwa kwa wanadamu.

2. Waja wa Mwenyezi Mungu Wanapokumbuka Aya Zake Husujudu
"Hakika wale walioamini aya zetu, wanapokumbushwa nazo huanguka kifudifudi na kumsujudia Mola wao, na humhimidi Mwenyezi Mungu kwa sifa zake, nao hawafanyi kiburi."
(Qur'an 32:15)

3. Kusujudu Kama Ishara ya Unyenyekevu na Shukrani
"Na kusujudu na ukaribie zaidi kwa Mwenyezi Mungu."
(Qur'an 96:19)
Hii ni mojawapo ya aya zinazosisitiza kusujudu kama njia ya kumkaribia Mwenyezi Mungu.

4. Sijda ya Malaika kwa Adam (AS)
"Na kumbuka pale tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam. Wakasujudu wote isipokuwa Iblisi, alikataa na akajivuna, naye alikuwa miongoni mwa makafiri."
(Qur'an 2:34)
Hii inaonyesha kuwa sijda kwa Adam ilikuwa ni agizo la Mwenyezi Mungu kama ishara ya heshima, si ibada.

5. Sijda ya Viumbe Vyote
"Na viumbe vyote mbinguni na ardhini vinamsujudia Mwenyezi Mungu, kwa kupenda au kwa kulazimika, na vivuli vyao pia asubuhi na jioni."
(Qur'an 13:15)
Aya hii inaonyesha kuwa kila kiumbe kinamnyenyekea Mwenyezi Mungu.

6. Waumini Wanaposikia Qur'an Husujudu
"Na wanapoisikia Qur'an husujudu kifudifudi wakiilia kwa hofu na shukrani kwa Mola wao."
(Qur'an 17:107-109)

---

Sura za Sajda (Aya za Kusujudu)

Qur'an ina sehemu maalum za kusujudu zinazoitwa "Aya za Sajda." Aya hizi husomwa na kusujudiwa mara moja na msomaji au msikilizaji. Kuna jumla ya 15 aya za Sajda katika Qur'an:

1. Al-A'raf (7:206)

2. Ar-Ra’d (13:15)

3. An-Nahl (16:50)

4. Al-Isra (17:109)

5. Maryam (19:58)

6. Al-Hajj (22:18)

7. Al-Hajj (22:77)

8. Al-Furqan (25:60)

9. An-Naml (27:26)

10. As-Sajda (32:15)

11. Sad (38:24)

12. Fussilat (41:38)

13. An-Najm (53:62)

14. Inshiqaq (84:21)

15. Al-Alaq (96:19)

---

Hadithi Kuhusu Sijda

Mtume Muhammad (SAW) alisisitiza umuhimu wa sijda kwa waumini:

1. Kusujudu Mara kwa Mara
"Unapomsujudia Allah, Allah hukunyanyua daraja moja na kufuta dhambi moja."
(Sahih Muslim, Hadithi 482)

2. Kusujudu Kama Alama ya Ibada
Mtume alisema: "Nitambue umma wangu Siku ya Kiyama kwa athari za sajda kwenye vipaji vyao."
(Sahih Bukhari, Hadithi 6572)

---

Umuhimu wa Sijda

1. Ishara ya Unyenyekevu Kamili
Sijda inaonyesha kwamba binadamu anakubali udhaifu wake mbele ya Allah.

2. Kipimo cha Ukaribu na Allah
Kusujudu ni tendo linaloweka mja karibu zaidi na Mola wake.

NDUGU ZETU WAKIRISTO MNAKOSEA WAPI? NAWASHAURI WASOME SANA BIBLIA NA WASIPENDE KUSOMEWA NA WACHUNGAJI NA WAO WAKAWA WANAFATA TU
Kuna wenye macho na hawaoni....
Waona hili andiko..
Mwenyezi Mungu awape tanabahi wasiendelee kujipoteza...
 
Swali hujajibu, kwanini waislam weusi ndo wenye digida peke yao? Hata kama ni waçhache, kwanini?
Wanaosujudu wasio waislam hawana sigida, wawe waarabu au siyo waarabu.
SWALI KWANINI WAISLAM WEUSI TUU NDO WAWE NA SIGIDA?
Hapa tunaongelea ile sugu nyeusi kwa waafrika weusi tuu.
Angali hapo kwenye comments wenzio wametoa ushahidi wa wakristo kusujudu. Wajibu hao.
Hapa tunaongelea àlama nyeusi inayotokana na kusugua mswala wakati wa kusujudu.
Ndio hivyo. Kwani wakiristo wakisujudu husuju kisogosogo mbona hawana?
 
Back
Top Bottom