Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Wanasema ile alama ya sijida ni tochi kule akhera,😅😅mpuuzi pekee naqeza amini huu ujinga,na ujinga huu utaukuta zaidi kwa mtu mweusi.
 
Mwisho kwanini mmegeuka kuwa wasemaji wa waislam hali ya kuwa kitabu chenu hakijulikani ni version ipi mfuate na yapi , attacking muslims kutafuta koment hamna chochote unapata maana humu kama watu wanamashetani ukitajwa uslam na waislam yanapanda.
Andikeni mambo yananyo wahusu
Hauna hatimiliki na hiyo dini na huwezi kuwazuia au kuwapingia watu kutoa maoni yao yoyote kuhusu dini yoyote.
 
Waislamu wa ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu ..hawana akili yoyote kichwani ...akili zao ni kama akili za wanawake tu...nilisema duniani hakuna waislamu kwa sasa bali kuna WAISIHARAMU TU.
Utakuwa umelaaniwa na wazazi wako si bure.
 
ndugu zangu wakristo msipokuwa na uvumilivu wa tofauti za kiimani na waislam, wengi mtaugua kisukari na presha kwa msongo wa mawazo.nadhani wengi itakuwa tayari wameanza kuugua
Kwa kweli wanahitaji kupatiwa matibabu ya akili.
Tatizo dini yao haina cha maana ndio mana kutwa wako busy na waislamu.
Wengi wao wanawaonea wivu waislamu kwa sababu wako committed.
Wakristo wengi wanatamani waislamu wawe kama wao tu yani tusifuate mafundisho ya dini yetu ili tuwe sawa
 
Utakuwa umelaaniwa na wazazi wako si bure.
Nimelaaniwa kama mudi boy.. maana na yeye alisema hivi hivi ..kuwa kutakuwa na makundi 70 ya waislamu ila kati ya hayo ni moja tu ndiyo litakuwa la waislamu wa kweli mengine yote yaliyo baki yatakuwa ya makafiri wa kiisiharamu...pia mudi boy akaendelea kusema kuwa siku hizo waisiharamu watakuwa wengi sana ila watakuwa kama uchafu wa mizoga ya baharini inayo fanya povu baharini(yaani ni povu la uchafu wa baharini) FaizaFoxy njoo umchukue huyu kafiri wa kiisiharamu mwenzio.
 
Hili neno sijda ni la kiarabu na limekuja kutoka kwa waarabu halafu hapo hapo mvimba macho anakuambia waarabu hawana sijda!
Sasa sijui wasio waarabu walijuaje sijda ni nini?
 
Hasad ni nini??
Husda ni kitu kibaya sana.

"Wanatamani wengi miongoni mwa wale waliopewa kitabu {mayahudi na wakristo} laiti wangekurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya husda iliyomo ndani ya nafsi zao, baada ya kuwa imekwishawabainikia haki, basi sameheni na achilieni mbali mpaka Allah atapoleta amri yake, hakika Allah juu ya kila kitu ni muweza."

Qu'ran 1:109

Wanaswali wengine, alama usoni zinawatoka wengine ila roho inamuuma mwingine hii ni sawa kweli? na basi wangejua hizo alama hazipo usoni pekee bali magotini, kwenye mifupa ya miguuni na usoni kama walivyosema, na sababu ni kuswali sana na ngozi ya mtu, kuna watu wanazo na wengine hawana kwasababu mtu swala za lazima anaswali kwa siku rakaa 17 hizi ni maisha yote lazima atoke alama.

Sasa wivu wa nini? si tumekubaliana tukae kusubiri siku ya mwisho kama itafika, sasa mbona kelele nyingi?! si mtuache na swala zetu na ninyi mfanye yanayowahusu? husda ni kitu kibaya sana indeed.
 
Hsya maneno tu kama ya kwenye kanga
 
Hsya maneno tu kama ya kwenye kanga
Ila yamekuchoma moyoni. Huo ndio ukweli. Kaeni mjitafakari na dini yenu ina nini? Mbona hamfuatilii mambo ya dini yenu kama mnavyofuatiloa mambo yetu waislamu?

Hiyo ni husda au wivu unawawasha kweli kweli.
Lakini Mwenyezi Mungu ametuambia tuwasamehe tu na sisi tunawasamehe huenda siku moja mkaongoka
 
Back
Top Bottom