Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

Wapo wanazo wengi tu sema wewe tu ndio haujawaona.
IMG-20241206-WA0000.jpg
 
Kumbe sigida ni umaskini wa kuswalia kwenye mikeka migumu na si taa ya kaburini tena?
Tafsiri ya sijda kuwa mwanga wa kaburini ni pana sana.
Kitakacho kupa mwanga kaburini ni matendo yako mazuri na swala na sio alama kwenye paji la uso.

Mtu kuwa na sijda si kipimo cha yeye kusali sana ,na kutokuwa na sijida sio kipimo cha kutosali.
 
Ni kwa sababu hawaswali sana wala kusugua vichwa vyao ili kuwa na sijda kuwakoga wengine wakiamini kuwa itakuwa ni taa peponi. Wao ndiyo waliotunga hizi ngano. Wanazijua na hawaziamini hata kidogo. Tangu lini storyteller au storywriter akahangaishwa na wahusika aliowatengeza mwenyewe?

The art of the storyteller.
 
Nyie wabongo hamsujudi bali mnajibamiza chini ili mpate sugu yan ukiwa muislam afrika ukiwa nayo hio sugu hata msikit unakabidhiwa
Hata wakiristo wanajenga makanisa ili wapate misaada ya wazungu
 
Mkiristo gani kichwa maji. Hata kuuliza swali hujui
Uliza hivi. Kwanini waislam ngozi nyeupe kama waarabu , wazungu na wahindi hawa sijda? Lk umekazania waarabu waarabu na unajua kuna waarabu makafiri kuliko wewe

Usitake kuulizwa swali unavyotaka wewe. Muul8za swali ana uhuru wa kuuliza vyovyote vile. Unachotakiwa ni kujibu tu.
 
Nikilionaga jitu lina hiyo kitu ,mosi naliona litakuwa linajiona litakatifu,pili neno kafiri liko akilini mwake na laweza kutoka muda wowote,na mwisho naliona ni jitu lilipotea njia kwa kuiacha njia sahihi ya kuelekea uzimani na kushika njia ielekeao upotevuni
Aisee nyie watu chuki dhidi ya waislamu zinawatesa sana! ... hivi hamuoni kama mnajipa tabu wenyewe?

Hebu tukuulize, chuki yote hiyo uliyoibeba moyoni mwako ... waislamu walikufanya nini wewe mpaka uwachukie kiasi hicho?
 
Mwanamke haongozi muislam. Ukiona muislam mwanamke anaongoza ujue nchi hio inafata mfumo wa kikiristo yaani dini siasa tofauti

Siyo mfumo kikristo. Hiyo inaitwa secularised state
 
Sasa kama umezaliwa na mtu asiye na akili ww utakuwa na akili ,maana tabia na akili ya mtoto huwa inaasiki ni aina gani ya mzazi aliye naye.
Kwana mwanamke kichaa na mwanaume kichaa wakizaa kikanuni wana zaa kichaa? Tumia akili achakutumia kijambio kufikiri kama ccm ...NYINYI NDIYO YALE MATOTO MAPUMBAVU MNAO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU...VERY FOOLISH PEOPLE
 
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda

Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu

SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu viongozi wa kibudha wanasujudu mara 108 kwa siku kama maagizo katika dini yao

AIDHA, kuna alama inayotokea katika paji la uso kwa yule anayesujudu, hii hutokea si kwa watu wote hata ikiwa wote wanaswali swala 5 za Faradhi (zinazofanywa kila siku)

Swali langu kwa Waislam ni kuwa, Kwanini Waumin wa Kiislam jamii ya wa Waarabu wengi wao hawana SIJDA hata viongozi wa Dini?

SHUKRAAN...
Malaria 2 adriz mjingamimi FaizaFoxy Hance Mtanashati Hammaz
Hii inasababishwa na eneo unalosalia, yaani wenzetu misikiti yao inamakapeti ya manyoya kwa hiyo hata asujudu vipi haiwezi kutoka sijda.
Wakati asilimia kubwa ya misikiti yetu kapeti zetu ni ngumu ndiyo maana tunatoka sijda sawa na kusema huyu analala kwenye godoro na huyu analala kwenye mkeka. Lakini tayali kuna baadhi ya misikiti Tanzania imeanza kupokea hizi kapeti za manyoya inamaana waumini hawawezi kutoka sijda
 
Back
Top Bottom