Uyo mwenye trouser ndo wa kike walibadilishana mavazi kuchanganya mashabikiWa kike ni yupi kati ya hawa?
Wa kike ni yupi kati ya hawa?
Kuna usemi wa Wahenga "nionyeshe msela/rafiki yako nikwambie ulivyo"Kuna msela wangu miaka mingi kidogo alimtafuna sana huyo Fundi charahani Wakihindi....
Kabla sijakomenti, hawa ni Watanzania?Hivi wadau hapa kuna uzima kweli au ndio mambo ya pozi za kifashion na kikuku mguu wa kulia....ila madizaina kwa kweli afya zao za kijinsia tata sana kwa kweli.View attachment 1278464View attachment 1278465