Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
Ukifuatilia kwa ukaribu historia ya ubunifu wa mavazi imefadhiliwa na freemasonry .Ukiwa makini utajua kuwa Leonardo DA VINCI alichora picha ya Monalisa ,kuonesha namna ambavyo mwanamke anatakiwa kuvaa. Since then wabunifu wa mavaz wakifadhiliwa na freemasonry wamekuwa wakimvua nguo taratibu Monalisa hadi kufikia wanawake kutembea uchi. Sasa unganisha freemasonry ,gays and modelling utapata jibu kuwa wanamtumikia bwana wao mmoja wanaomjua wao.