Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi mwenyewe ni mmoja wao...
Umasikini tu lakini nilitamani nitupe...
Ila next time sinunui tena hizi products....
Najua haita make a difference...lakini najisikia vibaya kama tokana na imani yangu...
Hata ukiacha kuzinunua na tuseme ukaanza kununua bidhaa za LG, Motorola, au Samsung, huko ndo hakuna mashoga?
Utaacha kununua bidhaa ngapi?
Je, huwa huangalii CNN? Kama huangalii CNN, huwa unaangalia stesheni gani? BBC? BBC hakuna mashoga?
Je, hutumii kompyuta? Kama unatumia, unatumia aina gani? HP? Toshiba?
Wewe ni Mkristo? Kama ni Mkristo ni dhehebu gani? Mkatoliki? Kama ni Mkatoliki, hujui kwamba hilo kanisa lina mashoga wengi tu?
Hao watu hawakwepeki.