Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??
bac944a6bf8becdac0d3a9fcb6c0980d.jpg

Unataka kuniambia, huyu kwenye picha ni wa kiume
 
Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??
bac944a6bf8becdac0d3a9fcb6c0980d.jpg
Huyu ni demu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa..
Judge no body.

Kazi yao inawaruhusu kuwa hivyo kwa sababu mazingira yao mara nyingi anakuwa yupo na wanawake na hii inapelekea kuwa na tabia za kike.
 
Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??
bac944a6bf8becdac0d3a9fcb6c0980d.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu si demu kabisa mkuu cheki kuanzia umbo mpaka pozi

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mwanaume mzima unavaa vinguo vilivyobana makalio kisha unaanza kutembea jukwaani kwa madaha huku ukituonesha msambwanda wanaume wenzio,!!
Unadhani uanaume ni kazi rahisi namna hiyo?
Yani ufanye kazi ya kuturingishia makalio alafu utegemee uwe mwanaume kamili gado?

Bwahhahahahaha wanaturingishia makario,.. Asehh hatari,.. Bwahahahahaha
 
Mwanaume mzima unavaa vinguo vilivyobana makalio kisha unaanza kutembea jukwaani kwa madaha huku ukituonesha msambwanda wanaume wenzio,!!
Unadhani uanaume ni kazi rahisi namna hiyo?
Yani ufanye kazi ya kuturingishia makalio alafu utegemee uwe mwanaume kamili gado?

Hii inamuhusu Diamond Platinumz
 
Tatizo watu hupenda kuhukumu sana. Sijui kweli kama elimu zetu zote 3 zinatusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama kusoma haujui hata picha basi mkuu imagine ndo mtoto wako wa kiume anakuja hivyo nyumbani upo na marafiki zako mnapiga stori mbili tatu utachukua uamuzi gani?

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Hivi kala kajamaa Martin Kadinda ni riziki kweli yulee? Na yule Haki Ngowi ni mzima kweli au? Wanaume wanaopenda kushika shika nguo na kujiremba kwa kweli nina mashaka nao sana. Nani anaweza kunipatia namba za hawa ma-aunt niliowataja?
 
Huyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume

IQ standard
basi itakuwa ni type ya genetic dissoder inayoitwa KLINIFFETERS SYNDROM yaani badala ya mwanaume kuwa XY yy anakuwa ana extra X yaani XXY ambapo hii inamfanya X chromosome kui dominate Y na hivyo hormones nyingi anazokuwa anazalisha ni za kike ndiyo maana ya huyo kuwa hivyo hata ndevu huwa hawanaga hao

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom