Maendeleo huwa hayajifichi huo ni uongo tu! Mji ndo refection ya maendeleo ya sehemu husika!!Mosh
Kijijini ndio kuna majumba na maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo huwa hayajifichi huo ni uongo tu! Mji ndo refection ya maendeleo ya sehemu husika!!Mosh
Kijijini ndio kuna majumba na maendeleo
hiyo ni kweli mti wenye matunda lazima upigwe mawe na ukiona watu wanakuchukia sana jua ya kwamba wewe ni mtu mkubwa saaanaNa wewe hamia huko uombe ukabila uwe mchaga au kaolewe huko uzae watoto wenye vinasaba vya kichagga kama unatamani ! !!
Wenzentu wa kaskazini wanajitahidi sana, ukweli usemwe ! Chuki ya nini.? Jitafute na wewe ukijipata jigambe !
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe!
Hakuna mji wa asili! Tatizo la huko ni wanachi kutoachia maeneo kwa ajili ya kuruhusu uwekezaji na watu wa jamii nyinyine kuja na kuwekeza!Inategemea huko Moshi unakopitaga huwa unajenga taswira ipi kchwani mwako kwamba ni "lazima" uone A,B au C ili moyo wako ufurahi.Lakini,nakukumbusha tu,miji na vijiji vingi(si vyote)kwa Afrika kuna mfanano.
SWALI LA KIPUUZI.
Kwani mji wa asili huko kwenu upoje hadi uwe na matamanio hewa kwamba utayakuta kwa wachaga@MrWhy?
Ungejibu na niliyoyauliza ingeleta taswira la hitaji la uzi ingependeza sana.Sante kalesa mukwai!Hakuna mji wa asili! Tatizo la huko ni wanachi kutoachia maeneo kwa ajili ya kuruhusu uwekezaji na watu wa jamii nyinyine kuja na kuwekeza!
Moshi ni fukara compared to which ancenstral city?Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii
Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza
Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?
Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa
Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo
Je hili mnalitambua?
Hajafika huko vijijini - ameishia hapo Moshi mjini na Majengo kwa Mtei ambako wameachiwa waishi wapangaji au wageni.Mosh
Kijijini ndio kuna majumba na maendeleo
Kwa maneno haya:Wachaga...wengi ni maskini sana....!
Kwanza majambazi
Wezi
Walevi mno.....
Moshi ni pa zamani mno hapana maendeleo
Lkn hawa wachaga wanakunyima usingizi....
Wanasema wana maendeleo wakati hawana
Na usingizi hupati...!
Achana na wachaga...utajiua au utakufa na pressure!
Mtu anatoka kaliua anulizia moshi mjini
Utaweza?
Point muhimu sana hii.. ni sawa na Dar es salaam wazalamo/wazaramo wangeng'ang'ania maeneo Dar isingekuwa kama hivi leo.. sames na mwanzaHakuna mji wa asili! Tatizo la huko ni wanachi kutoachia maeneo kwa ajili ya kuruhusu uwekezaji na watu wa jamii nyinyine kuja na kuwekeza!
Mimi natoka Mwanza lakini hawa Wachaga humu wanajigamba sana mpaka mtu unashangaa kwanini wanafanya hivi lakini nikitazama Moshi haiendani kabisa. Nilitegemea Moshi iwe kama TokyoInategemea huko Moshi unakopitaga huwa unajenga taswira ipi kchwani mwako kwamba ni "lazima" uone A,B au C ili moyo wako ufurahi.Lakini,nakukumbusha tu,miji na vijiji vingi(si vyote)kwa Afrika kuna mfanano.
SWALI LA KIPUUZI.
Kwani mji wa asili huko kwenu upoje hadi uwe na matamanio hewa kwamba utayakuta kwa wachaga@MrWhy?
Ng'wanza?Uli nsukuma?Mbona hata wasukuma wengi hujivuna kwamba kwao watu wote hufuga "mang'ombe"?Na hata kujiita "chapa ng'ombe".Kwani ni kweli kila msukuma anafuga ng'ombe?Na hakuna wasukuma wenye miili midogo /wastani?Mimi natoka Mwanza lakini hawa Wachaga humu wanajigamba sana mpaka mtu unashangaa kwanini wanafanya hivi lakini nikitazama Moshi haiendani kabisa. Nilitegemea Moshi iwe kama Tokyo
Toa data ama umejitumia wewe as a referenceNdio waafrika tulivyo tunapenda kila mtu awe maskini ndipo tunajisikia vizuri.
Hao watakuwa Wahaya.Mimi natoka Mwanza lakini hawa Wachaga humu wanajigamba sana mpaka mtu unashangaa kwanini wanafanya hivi lakini nikitazama Moshi haiendani kabisa. Nilitegemea Moshi iwe kama Tokyo
Kwa kifupi...huijui Moshi.pole.Maendeleo huwa hayajifichi huo ni uongo tu! Mji ndo refection ya maendeleo ya sehemu husika!!