instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Meanwhile stand ya Moshi 😂Siyo kwamba wengi mnaopiga wachaga vita mnasumbuliwa na inferiority complex? Watu wengi wanadharau wachaga huwa naona wana kitu kimoja common: maumivu ya ndani kwa ndani!
Sasa mtu awachukie watu wa Moshi kwa lipi