Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Wajinga wamejikita kwenye biashara zaidi lkn Wachagga shule wamekata na biashara pia wamo.
 
Na kwenye sector binafsi nako nani Huwa anawaleta
 
Kwa sababu wana sifa ya kuwepoo na ninwachapakazii au wewe unazani kwa sababu
 
Na kwenye sector binafsi nako nani Huwa anawaleta
Anaewapeleka kule ndo huyohuyo anaepelek na huko. Nishafanya kazi kwenye NGO mbili mkuu. Watu wanakata kipande cha mfumo wanakimilki, ndo mana ajira leo hii kuipata mtihani kwelikweli. Mifumo ile imekatwa katwa katika muundo wa kamba 'lining', yani anatupiwa mtu anashika. Mbona hiz experienc hata India zishaonekanaga na kwenye makaratas ya wasomi zishaelezwaga

Maendelo haya ya kibepari yanakatika katika kimakundi, hapa tunaongela quality na quantity data
 
Kipindi hicho nyie mnahangaika na chagulaga, kuhamahama na ng'ombe na kucheza ngoma wachaga waliwekeza kwenye elimu, kipindi nyie mna tangatanga machimboni mkipata mali mnazitapanya ovyo kama yule mshamba wa katoro wachaga wakipata hela wanawekeza kwenye elimu wanapeleka watoto wao oxford, harvard, cambridge universities.Ndio ujilinganinge na hao ndugu, jamii isiyothamini elimu ni jamii ya kipumbavu. Mimi siyo mchaga ila nawakubali wachaga kwa strategies za maendeleo.
 
Sio kweli. Ni kinyume chake
 
kwa sababu ya Christianity ambayo ilileta elimu, hakuna sehemu ambayo is soo highly educated and Christian kama klm ...
It make sense, mana haya maendeleo ni product ya ukoloni. Na mkolon aliacha ovyo maeneo yote ambayo hakupokelew ka mikono miwili. Ukanda ule ambao ulimkataa kwa nvuvu mpaka uliitisha vita ya Majimaji ndo ukadidimia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…