Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

Unamaanisha ARDHI UNIVERSITY?
Pale ukiacha hao wanavunzi ambapo sina hakika ila staffs ni wachaga kibao kisa jamaa wa kuitwa CHUWA, huyu alijaza wachaga wenzie utazani chuo kiko moshi
Kwani Ardhi nacho ni chuo kikuu?
 
SHULE, SHULE...shule ...shule...!!
Wenzio walienda shule zaidi ya miaka 100 iliyopita, wakati wewe babu zako wanarina asali mbugani.
 
Kuna makabila mpaka hivi tunavozungumza hawana huo muamko,pili ukiondoa wahindi na waarabu, wakaskazini ndio wenye misuli ya kiuchumi nchi hii,so muamko+fedha+spirit ya utafutaji wa hao watu niseme tu nyinyi wandengereko hao watu hamuwawezi
 
Kuna makabila mpaka hivi tunavozungumza hawana huo muamko,pili ukiondoa wahindi na waarabu, wakaskazini ndio wenye misuli ya kiuchumi nchi hii,so muamko+fedha+spirit ya utafutaji wa hao watu niseme tu nyinyi wandengereko hao watu hamuwawezi
Mimi sio mndengereko natetea tu hoja.Makabila ndio yapo lakini ni yale yenye population ndogo Kilichowasaidia wachaga ni kuwahi kupata shule mapema hivyo kuwahi kupata connections serikalini na sekta binafsi na sio kwamba wako unique.

Sasa hivi Tanzania nzima vijijini nyumba nzuri zinajengwa sababu wengi wameelimika na kuwa vizuri kiuchumi na mila zimepungua.
 
nilisha sema kuwa siku akipatikana raisi mchaga 😁😁😁😁Tanzania kutatokea ufisadi ambao hautawahi kusahaulika hadi dunia inaisha

wanapenda mali hata iwe yakuzurumu hawa jamaa utu hawana
 
Nadhani wasukuma ndio watatek ova kwa sababu ya wingi wao na sasa wameigeukia shule kwa hasira.
Hakuna binadamu atashindana na artificial intelligence,militiaman kuyashuhudia ninapofanya kazi itabidi nifungue uzi ili watu wajue kinachokuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…