Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Nani anawabagua au wao ndio wanajibagua?
 
Japo Nina damu kidogo ya upare (ni me mix) Ila mchaga na mpare wameachana mbali sana. Wapare msijidanganye level ya maendeleo ya mchaga hamuikuti hata Robo iwe kiakili, kielimu au kibiashara au ubora wa makazi huko mtokapo.
Hata kitabia mchaga anambeba mchaga mwenzake Ila sio mpare. Mpare ana roho mbaya yaani ile roho ya Bora tukose wote.
Af mpare alichozidi labda uzinzi a. K. A umalaya.
So hata siku moja unapoongelea achievements kamwe usijiweke group moja na mchaga.
Wapare wajomba zangu Niko tayari mnipopoe mawe
 
Wachaga hawana njia zingine za kutafuta pesa nje ya kufungua duka, grosari ya bia ama kufunga nguruwe.. mchaga ni mara chache sn kumkuta amejichanganya kwenye fursa za kilimo zaidi ya hizo biashara za kizamani na za kishamba..
 
Hakuna mahali mleta uzi amesifia wapare soma tena uzi ni wenge lako
 
Hakuna mahali mleta uzi aliposema wapare wako sawa na wachaga kimaendeleo hayo mengine ni ya kwako na chuki zako

Alichosema yeye ni mpare na hata akiwaambia watu wanamkatalia wanamwambia ni mchaga

Na hii ukweli wapare wengi walioishi moshi au arusha wakiwambia watu wao sio wachaga watu wanawakatalia
 
No addition.
Umeua kila kitu na kila kona
 
Nilimtembelea mtu Fulani mahali, nikahitaji atoke nje kidogo, nje ya geti lake maana jambo lenyewe si kubwa sana, akaniambia "Samahani sana, siwezi kutoka, ndani Kuna fundi mchaga Niko naye. Nikitoka huyu mchaga si unajua walivyo asije akachukua baadhi ya vitu vyangu hata na vifaa"...Niliondoka njia nzima nalifikiria lile suala, hatutakiwi kabisa kufika huko Jamani, sote sisi ni watanzania na sio wote wana tabia hizo. Tupendane.
 
MPARE anaona aibu kutaja hata kabila lake. utasikia kwetu Kilimanjaro ili angalau aji-affiliate na wachaga
Kilimanjaro ni mkoa na wapare wako mkoa wa kilimanjaro inamaana na hili hulijui uko shuleni sijui mnasomaga nini

Na pia mkoa wa kilimanjaro unakabila la wamasai

Ombeni serikali mkoa wa kilimanjaro ugawanywe Ili wachaga mpewe mkoa wenu pekee yenu
 
Halafu hizo kabila mbili ndio zinazo ongoza kwa kesi ya talaka za mahakamani.
Kabla ya kupinga tafuta hizi taarifa KKKT, RITA, Ustawi wa jamii Ina Mahakama za mwanzo.
 
Ukiwa na akili kubwa hakuna utakuhitaji tz,na Hilo ndilo anguko la waafrika wengi,watu weusi ni watu wa kusagiana kunguni sana.ndio maana migogoro haikomi kwenye bara hili.wachaga nimekaa nao sana wako well disciplined ,ni wachapa kazi na ni watu waliojaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kuyatawala mazingira.tatizo la makabila mengine ni watu wenye chuki,uchawi,na Kila aina ya hila;ndio maana wanaona makabila kama wahaya ama wachagga ni maadui zao wakubwa.Kama watu wote tz wangekuwa na spirit kama ya wachaga nchi ingekuwa mbali sana.
 

unataka kusema wachaga wao tu ndio wizi na wahalifu kwenye hii nchi?
 
Kwenye nini hasa Wachaga wanasprit kuzidi wengine?
Kama ni boashara kuna Wakinga,Waha ,Wasukuma wanakimbizana nao kama kawaida!
Kwenye Elimu pia kila jamii inasomesha!
Don't be brainwashed hayo mambo ya miaka ya 90 na yalisababishwa na athari za wakoloni kukaa maeneo yao!
Sasa hao Wahaya ndo wana nini? Hata Kanda ya ziwa hapo kibiashara hawawafikii Wasukuma,Wakurya au Waha!
Ukisema Mhaya ana akili kubwa kwenye nini hasa? Maana hakuna sekta hata moja ya Uchumi Mhaya anahold au hizi degree uchwara ambazo kila mwenye akili ya kawaida na kutoka jamii yeyote anapata!
Nikukumbushe tu hata Ulaya zamani walikuwa juu ya China lakini leo hii wamepigwa bao
Tanzania hii watu wanatafuta hela usipime migodini,mashambani na mijini na kuna baadhi ya maaeneo hata huyo Mchaga hajulikani!
 
Nimekaa na waha, wakinga, wasukuma na wachaga
Ila kitu ambacho nakuhakikishia hakuna watu wanaojua kufosi kama wachaga

Waha ni wafanyabiashara wazuri ila wanaridhika mapema na kidogo wanachopata

Wasukuma ni wafanyabiashara wazuri ila ni watemi sana biashara inakutaka kuwa humble unaweza anza vizuri ila kuna-point huwezi fika

Wakinga wana-utajiri ila wanaishi kimaskini

Wakurya ni wafanyabiashara wazuri ila wanatumia hisia sana kuliko akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…