Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wasanii wana sauti gani?Kichwa cha habari chajitosheleza...!
Uzi tayarKichwa cha habari chajitosheleza...!
Hakuna mtume aliyekuwa anabwatuka na kupiga yowe kwenye biblia nzima. Hata Yesu mwenyewe hakuwa anapiga mayowe aliongea kawaida.Nguvu nyingi hutumika wakati wa kuhubiri na kukemea na wakati wa maombi. Unlike mapadre ambao mafundisho yao no kama wanaonhea na waumini.
Hivi nuhu kwa miaka yote ile alihubiri kama mtu anaye ongea? Halafu mkuu kizazi cha saivi ukikihubiri kwa lugha ya mazungumzo unakuta kichwani unapita wimbo wa zuchu tu honeeeeeey!!!! Lazina uwapigie kelele kidogo 😁😁😁😁Hakuna mtume aliyekuwa anabwatuka na kupiga yowe kwenye biblia nzima. Hata Yesu mwenyewe hakuwa anapiga mayowe aliongea kawaida.
Hawa manabii wa sasa ni kama rappers. Marijani Rajabu sio sawa na Chinowanaman.
Hahahah 🤣🤣🤣🤣🤣Jaribu tamka "NA MBENGOOO ZIKAFUNGUKA " katika sauti mbali mbalii hahaaa
Ni sifa za kijinga tuKichwa cha habari chajitosheleza...!
Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?