Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

Mlitaka waombe kwa sauti kama unatongoza demu.
Maombi yanahitaji energy.
Mapadri Wana hubiri.
Kuhubiri utumii energy sana.
 
Kichwa cha habari chajitosheleza...!

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
Sana sana haya madhehebu ya kisasa, yaani wanakuwa kama masangoma tu, sangoma akiona mteja sauti inabadilika
 
Hakuna mtume aliyekuwa anabwatuka na kupiga yowe kwenye biblia nzima. Hata Yesu mwenyewe hakuwa anapiga mayowe aliongea kawaida.

Hawa manabii wa sasa ni kama rappers. Marijani Rajabu sio sawa na Chinowanaman.
Wewe Yesu ulimsikia wapi akiwa anahubiri
 
Hivi nuhu kwa miaka yote ile alihubiri kama mtu anaye ongea? Halafu mkuu kizazi cha saivi ukikihubiri kwa lugha ya mazungumzo unakuta kichwani unapita wimbo wa zuchu tu honeeeeeey!!!! Lazina uwapigie kelele kidogo 😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣kwakweli
 
Hata mapadri pia sauti zao ni feki a.k.a fekero.

Wanajifanya wanaongea kwa lafudhi ya Kilatini eti!
Kaen mkijua kuna mapepo yenye kibur bila kulikoromea kwa sauti yenye utisho haliwez kumtoka mtu achen kulinganisha mambo!! Ndio maana sio lahis padre kumtoa mtu pepo maana litamwangalia tu bila kujishtua lilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom