Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

Kichwa cha habari chajitosheleza...!

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
Huwa wanawahubiri Masikini ambao huitaji sauti ya kukoroma ili asikie,..tofauti na padre yeye huubiri majajiri ambao hawataki Kelele😜
 
Kichwa cha habari chajitosheleza...!

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
Dini za Kikristu ni tofauti.
Wakatoliki ni cool,calm and collected.
Hizo Dini nyingine(za Kikristu) kama Wakarismatiki au sijui nani,mihemuko ni requirement ya ile dini. Yaani,pastor lazima awe emotional.
 
1.Waganga wa kienyeji
wanapiga ramli kwa kukoroma
wana masharti ya kupelekewa vitu kama mbuzi, kuku, njiwa.(hawaagizagi mchicha!)
masharti mengine ya uponyaji ni lazima walale na wateja wao.

2.Wajasialiamali wa injili
wanakoroma, hii ndio silaha yao kuu ili waaminike
wana masharti ya wateja kupeleka nywele, kucha, kula keki, majani, maji,
wana maombi ya mtu moja moja!

KUNDI LA KWANZA = KUNDI LA PILI
 
Back
Top Bottom