92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Alooo kuna jamaa anaombea sana kwenye ile fountain radio kwa wakazi wa kilimanjaro wanamjua dah jamaa sauti yake sio mchezo siku moja niko home nikatune redio basi nikamsikia nilicheka sanaKichwa cha habari chajitosheleza...!
Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?