Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

Kichwa cha habari chajitosheleza...!

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
Alooo kuna jamaa anaombea sana kwenye ile fountain radio kwa wakazi wa kilimanjaro wanamjua dah jamaa sauti yake sio mchezo siku moja niko home nikatune redio basi nikamsikia nilicheka sana
 
Huko vyuoni vyao vya bibilia ndiko wanakojigunza, na mtindo wa kilokole wa kufoka foka ulipo asisisiwa huko Marekani, mapadre na wengine wanaofuata mfumo wa liturijia hawawezi kuwa na mfumo wa mahubiri ya kufoka na kukoroma
 
Ni sifa za kijinga tu

Hata Masheikh kuna namna wanaongea kwa kufanana karibu wote

Utasikia

" Mwenyeeenzii Mungu sub Allah wa taalah anakutakeni ndugu waislam"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ni sauti ya roho mtakatifu
 
Wote ni walewale wapo kimkakati zaidi "MAOKOTO"
 
Umejiwekea imani tu mbona wengine sauti zao zipo simple tu labda watakuwa mitume wako uchwara ndo wanakoroma ili wakulambe pesa vizuri
Kondoo huwa niwagumu sana kwenye kila kitu .yaan unataka kataa kwamba hao wachungaj waadhehebu hawaongei kwa kukoroma...tumekua tukishihudia hio ndo style yao..unataka kanusha hilo...kwel brainwash ina nguvu kuliko chochote..yaan kondoo unataka bisha kabisa hapa..dah..ma.mae
 
Huko vyuoni vyao vya bibilia ndiko wanakojigunza, na mtindo wa kilokole wa kufoka foka ulipo asisisiwa huko Marekani, mapadre na wengine wanaofuata mfumo wa liturijia hawawezi kuwa na mfumo wa mahubiri ya kufoka na kukoroma
Ila hata mapadri kuna ongea yao fulani hivi ya "kipadiri".
 
Kichwa cha habari chajitosheleza...!

Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
Ushawahi kujiuliza kwa nini madaktari huwa wana miandiko mibaya kwenye kadi za wagonjwa ila huwa wanamiandiko mizuri kwenye ishu nyinginezo??

JIBU
Hizo ni sauti za kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…