Wangu havai. Anavaa tu dera ili niwe naona anavyotetemesha makebo yake.Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight.
Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
Acha kuchunguza wadada wenzako.Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight.
Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
Kwamba mtoa mada ni baby girl? 😎Acha kuchunguza wadada wenzako.
Unapata wapi muda wa kujua nani na nani hawajavaa skin tight?
Au wanawake mna muda wa kuchezea?
We si unaona hapo anajua wenzie wasiovaa skin tight.Kwamba mtoa mada ni baby girl? 😎
Astakafirilah 😂We si unaona hapo anajua wenzie wasiovaa skin tight.
Sugu inaweza kuwa msuguano wa nyama za mapaja, sio lazima nguo.Kiafya skin tight ni nzuri kwa wadada ili kuepusha msuguano na kusababisha sugu kwenye mapaja .
Well said.Kiafya skin tight ni nzuri kwa wadada ili kuepusha msuguano na kusababisha sugu kwenye mapaja .
Skin tight inapunguza msuguano wa nyama kwa nyama wa mapajaSugu inaweza kuwa msuguano wa nyama za mapaja, sio lazima nguo.
Skin tights huwa zinasuguana kwenye mapaja hadi zinachanika!!Kiafya skin tight ni nzuri kwa wadada ili kuepusha msuguano na kusababisha sugu kwenye mapaja .
SipingiSkin tights huwa zinasuguana kwenye mapaja hadi zinachanika!!
Nguo safe ni suruali
Sio kwamba sugu zinasababishwa na fungus?Kiafya skin tight ni nzuri kwa wadada ili kuepusha msuguano na kusababisha sugu kwenye mapaja .
Hapana , znasababishwa na uzito mkubwa, hormone, ujauzito na nkSio kwamba sugu zinasababishwa na fungus?
Kwa7bu wakivaa haionekani na ikionekana wanaambiwa wanatembea uchi, kwababu hiyo wanaona haina mana.Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight.
Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁