Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!
Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Tatizo hawa wasabato unakuta kaiona pisi kali ila sasa suruali kavaa kitambaa mita 7 aka bwanga[emoji23][emoji23] sasa zama izi kweli utaeleweka mkuu? Alafu anaanzia mbali uje kanisani kwetu.... na akimuwin manzi mpaka ale kichwa ni yesu amuongoze tofauti na ivyo ni story tu sasa unategemea iyo game inakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et kung'utio la mashineni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kweli kazi ipo, kwamba mwamba anavaa suruali kama kung'utio la mashineni, kuna kazi kubwa ya kufanya hapo.
Hayo ni maswala yake binafsi mkuu.Umesha pima ngoma mkuu?
Unamaanisha Chris brown mkuu?Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata
Mweh?Kwa sababu wanawapeleka kwa mpalange
Mark Manson [emoji23][emoji23]most of us struggle throughout our lives by giving too many fu.cks in situations where fu.cks do not deserve to be given.
Fu.cks given everywhere......And for what purpose? For what reason? Convenience? Easy comforts? A pat on the fucking back maybe?
This is the problem, my friend.
Like a fine wine, our fucks must age into a fine vintage, only uncorked and given on the most special fu.cking occasions.
umenikumbusha huyu jamaa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dole la mndukuWana ule Utakatifu... Dem kamkazia kidogo kumpa mzigo. Anasema Sawa hata siku nyingine.
Dem kamzengua, Nice G anabembeleza.
Dem kila anachotaka ,anapewa kwa muda huo huo kama kilivyo .
Demu kila Mara anaambiwa...Nakupenda, usiniachee. Siwez ishi bila weeeee.
Demu haonyeshwi kua. Ukizengua nakutema.
Nice G wanaamin kupata mwanamke ni Bahati kwao, wanaamin kua dem anataka wemaaaaaa,
Mamaeeee.... Dem anakamatwa na bad boy, kwanza anamtombaaa huku amemzamishia Dole nyuma, analipiga makofi Kalio lakeee,...akaiengua makofi , sometimes anabembelezwawa , sometimes hamna.
Si ndio type za kina kalisa hizoWakuu huko juu kuna tupicha twa bad boys nionepo???[emoji15][emoji15][emoji15]
Namkubali sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mark Manson [emoji23][emoji23]
Brown alikuaga bwana wa WolperUnamaanisha Chris brown mkuu?
Sasa yule mbona bishoo kabisa mdogo wetu, au zile camo colors zimekuchanganya?Lakini kumbuka hamna binadamu mubaya Mimi naangalia roho yake njema, unaona Ile picha ya yule commando iliyo trend, ndio napenda wanaume wa design hyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah hii sasa noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, umenikumbusha Riley na Huey Freeman kwenye the Boondocks. Wapi Bushido Brown [emoji23][emoji23][emoji23]A Pimp Named Slickback [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, you are absolutely right, Hawa viumbe ni ngumu sana kuwaelewa na ukijaribu kuwaelewa utaambulia mateso na maumivu ya nafsi na moyoHakuna mwanaume aliyewahi mwelewa mwanamke.Na hata aliyekaribia tu alikufa
Ndo ivo mkuu.[emoji848]