Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadek
 
The Boondocks itabakia kuwa the best. Natamani McGruder aendelee na hiyo show
Bonge la series yaan. Nlikua namkubali sana Bushido Brown, siku anaucheza mkono na the hateocracy wakina mzee stinkmeaner nikajua lazima akawalishe fasta mwanang. Daah, mhuni akaishia kuwa decapitated [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa waliitengeneza kwa kutumia akili sana. Mimi nampenda sana Huey. Huwa najiona mimi kama Huey kwa misimamo yangu na harakati zangu.

Ndio maana tokea nimejiunga hapa JF 2015 avatar yangu haijawahi kubadilika ni Huey tu.
 
Dah wewe ni Mimi napenda mwanaume mtulivu na mstaarabu na asiye control control hovyo ni rahisi kudumu naye maana Mimi sipendagi heka heka na ugomvi usio na kichwa wala miguu na sipendi kuchokozwa.
Cariha ,Hakika wewe unanifaa Sana maana na Mimi ni mtu wa amani Sana Najua kujali inanyopasa na napenda furaha muda wote sina muda na maugomvi ya ajabuajabu
 
Kwasababu wadada wengi (sio wote) wanapenda rough game, and wanaamini bad boys ndio watu sahihi kwa hizi mambo.
Bahati mbaya wanatusahau na upande wa huku back benchers kwamba ni wakali...😜
Alafu wakishachakazwa nao na kua single mother akili ikiwarudi ndio wanaanza kututambua umuhimu wa vijana watulivu. Hahahaa u teenager Raha sana
 
Kifupi wanat.o.m.b.a hao yani kuna huyo mmoja mpaka naulizwa hv huyu umempendea nn nawajb hamjui tu shughuli yake kwa bed [emoji28]
 
Kwasababu wadada wengi (sio wote) wanapenda rough game, and wanaamini bad boys ndio watu sahihi kwa hizi mambo.
Bahati mbaya wanatusahau na upande wa huku back benchers kwamba ni wakali...😜

FACT
 
Dah wewe ni Mimi napenda mwanaume mtulivu na mstaarabu na asiye control control hovyo ni rahisi kudumu naye maana Mimi sipendagi heka heka na ugomvi usio na kichwa wala miguu na sipendi kuchokozwa.
Ivi we dada kabila gani samahani!
 
sasa mbona baada ya kuwapata hao bad boys mnaanza kulalamika wanakuteseni?
 
Huyu Karma hajapata watu kama Mimi mbona ananyooka na kumsikiliza mume
 
Bad boys most of them wako romantic wanajua kucheza na hisia za wadada and they are very caring people
Na hawana hela.... Labda za baba zao, maana watu dizain hiyo huwaga ni wakishua af wahuni, Ila wenzangu namm masking unaweza kuwa badboy na uspate pisi hata moja , madem wanavutiwa na vingi ttafte hela.... Money never cheats love cheats .... Mwisho wa siku manz atataka kuolewa na atachana na wahuni, ataacha kupost memes ataanza kupost nyimbo za dini na motivation quotes.... Ukiona hvo ujue kimeumana, ko ttafte hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…