Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kila kitu linasema 'ndiyo'
Ukilipelekeshapo akili baadaye inakaa sawa.
😂😂😂😂😂 mjumbe “Ndio” huyo!


“Sawa mke wangu”, “nakuja basi sasa hivi”,”naenda kwa wakala hapa kukutumia usijali”, “Sawa chukua tu”,”Poa basi siendi tena tunakaa wote leo”,”umeipenda? ngoja nikope nkununulie sawa”,”Unachoagiza wewe ndio mimi ntakula tu hicho hicho”,”Kata wewe basi kwanza namie nikate”

Huyu braza lazma apate tabu sana😅 na hawa akina Eva.
 
Hahahah mnapenda challenging guys kwa kifupi. This is what most of you like kimsingi[emoji28] mwanaume ambaye nae ana opinion zake sio mjumbe ndio!

Mwanaume wa ndio kila kitu na mpole kupitilizaa anakera ujue[emoji23][emoji23][emoji23]

kuwa na Opinion zako na uzisimamie kuna karaha flan hivi[emoji85]

Mwanaume mnasafiri anakupa vituo kadhaa...sio mwanaume njia nzima mpaka mnafika anakupa mistari ya Biblia[emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]

na huwa tunawadiscuss kuwa yule Kaka ni Zoba jamani hadi huruma yeye kila kitu ndiyo!!!
 
Kumbe mnatusimanga kumbe😂 dah!

Shida ni uoga tu lakini kuna mambo ambayo personally mwanamke ana expect wewe ufanye mkiwa close kama tu uchokozi flani tule😀 ila sasa unakuta wanaume wanaoweza hayo ni wale machachari chachari flani!

Wengine huwa wana uoga wa kushushuliwa maybe so anaona huyu atanishushua labda😅 ndio kuishia kupiga story za CCM badala ya kuchombeza
 
Eh sasa mtu anaenda tu kama gari bovu.


Mimi mwenyewe kuna vitu nasema hapana na nasimamia msimamo wangu.
Sasa unakuta janaume zima unaliambia nenda huku linaenda,au rudi linarudi,nenda tena linaenda..njoo hapa huyo amefika..hatq hajiongezi vingine.
 

Akikushushua Unamkazia au kumu-Ignore
hakuna kitu kinatuuma kama kuwa ignored!

ngoja nisitoe siri za kambi[emoji3] tuishie hapa
 
Eh sasa mtu anaenda tu kama gari bovu.


Mimi mwenyewe kuna vitu nasema hapana na nasimamia msimamo wangu.
Sasa unakuta janaume zima unaliambia nenda huku linaenda,au rudi linarudi,nenda tena linaenda..njoo hapa huyo amefika..hatq hajiongezi vingine.
Hahahaha rejections huwa zina maana sana kwenye kutunza heshima zetu kama wanaume 😅 sema tu wengi huwa hatujui!

Wengi hatunaga 2nd thoughts ndio maana ni rahisi kuwa trapped.
 
Hata mimi mkuu, et mwanamke ajifanye mbabe kwakweli simuelewi na atajuta.
 
Kweli mkuu. Sasa hamkawii kuletewa ubandidu halafu mnaenda kupost in public kama Shaa. Ngoja nijifunze kulamba makofi wanawake [emoji2][emoji2][emoji2]

Bro, usisikilize stories zao kuwa ulivyo halafu unda mbinu zako za hivyo hivyo ulivyo utawanasa wengi tuu, hata hawaeleweki hawa..... we kuwa kama mshambuliaji, utampiga chenga beki kadri anavyokuja.....
 

Jamaa anawanasa kwasababu ya kwanza ni huo u HB.

Ubandidu mpaka akishapewa key ya kufumua...Itakuwa anatumia vizuri nafasi ya kwanza ambayo ni muonekano wake.

Maana kuna ma HB halafu wanaringa kama wadada [emoji23]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…