Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Unachokosea ni kutaka kuchange character yako kwa ajili ya kupata approaval ya mwanamke, baki hivyohivyo na usabato wako utakubalika. Kwahiyo kila mara wewe utakuwa unajibadilisha kama kinyonga?

Hajakutana na wa character yake, ajenge mbinu za kuendana na character yake, atawakula tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke [emoji23]
Kum handle mwanamke inahitaji moyo sana na nilicho kiamua nitambembeleza ila akileta ujinga atanikoma.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa maswala gani ya yakunifungulia uzi huku? Huyo hb sindio mm?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mommah
 
Ni kama kazi/ tenda ukiwa na experience ya muda mrefu ni rahisi kupata kazi mpya.

Mwanamke yoyote anapendelea mtu anayejiamini na maneno machafu machafu na ndio maana jamaa anawangoa

Hakuna mwanamke hasiyependa mapenzi
Hasiyependa = asiyependa
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Binafsi siamini kwenye kumcondition mwanamke, naamini kwenye kuwa under nobody's influence either psychologically or emotionally. That's a real confidence.
 
Mimi nikiwa na binti yangu huwezi niletea mpuuzi kama huyo kuwa mkwe.

Watu wenye aina hizo za tabia malizaneni wenyewe huko huko mnakotinduana ila kwangu hawezi leta.
 
Wanawake wakuonewa huruma kwani hawajawahi kuelewa wanataka nini.
 
Huna maajabu yoyote, na huna cha kumfanya zaidi ya kumuacha tu! Huna kingine cha kumfanya hata kama amekuletea ubabe, au anataka kuku-control. Kukontroliwa ni lazima, kama hutaki tembea hulazimishwi.! Narudia, huna jeuri nyingine zaidi ya kumuambia tuachane[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], so huna maajabu, ni kauli za kawaida mno hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…