Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

wote hawana nafsi hao, wanezaliwa kuanzia 2000, roho zinazopayapaya za mahayati wa biashara ya utumwa na wa vita kuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu mtoa nilipokuwa shule mpaka chuoni Nilikuwa ni dj na kazi hii ndiyo nilinipa ulaji sana.
Hivyo madj huonekana kama na haiba ya kihuni au tuseme watu walikuwa wananiona Kama muhuni sijui

Hivyo nilinyandua pisi za aina nyingi pasipo kutoa jasho sana hata zile ambazo wakishua walikuwa wanafukuzia mimi nilijipatia kirahisi mnoo,

Na wala sikuwa nashoboka sana, I was mind my own business wakija ni hit and run ,
Hii ishu nadhani wanawake wenyewe ndio wanajua.

NB: uhuni sio mzuri huoni hata Samson alikuwa bad boy lakini kwenye mapaja ya Delilah mwenyewe aliloa?
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Uko sahihi,wenye akili zao watakuelewa...
 
Umesha pima ngoma mkuu?
 
Ile selfika ile... na age group niliyokuweka hubby ake ni ya kukukimbia tu.

Sababu ndo age ya badboys tu.
Ingawa umejiquote mwenyewe Ila nimejua unaongea na Mimi😁 .Unaongelea selfie ipi my dear? Hebu kanitag
 
Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…