Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kitu gani aliona π π π π ambacho kinaonwa na watu wawili tu? Yaani Marehemu Kenyatta na ImeloaKenyatta alikuwa sahihi kabisa kwani aliona kitu ambacho wewe hadi leo umeshindwa kuona.
Hawana budi kuvumilia
Nani kakudanganya Ethiopia ina umeme wa kutosha!?Wamewekeza kwenye material things na sio kwenye kilimo cha chakula, hata Umeme wanao wa kutosha tatizo NJAA
Hawana ardhi kubwa na nzuri ya kulima nafaka
Ethiopia kuna vita za kikabila zinazotokea na kupotea.Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
View attachment 3054635
View attachment 3054640
View attachment 3054643
View attachment 3054644
View attachment 3054645
Sio lazima tufanane Kama wakenyaMarehemu Kenyatta wakati akiwa madarakani aliwahi kusema yeye alikuwa akitawala wagonjwa nchini kwake Kenya wakati Nyerere alikuwa akitawala maiti nchini kwake Tanzania.
Leo tunashuhudia ukweli wa kile alichokisema marehemu Kenyatta.
Kumbuka kaka mapato ya SGR yakiongezeka yanaongeza pato la taifa ambalo hilo litasaidia bajeti ya nchi kutatua kero za raia kaka.Nchi nyingi za Afrika uchumi wake siyo inclusive kwa raia wa kawaida. Mfano mgogo wa kawaida itamsaidia nini Esijiaraa..hapo atabaki kuwa mpenzi mtazamaji tuu kwa matajiri
Safi sana Huyoπππ π€£π€£π€£jamaa no famba Sana yeye kama anaona nchi yetu nzuri ya maziwa na asali haimfai akwende zake huko kibera kwa wapuuzi wenzie ShiiitNa wewe ukamwamini π π π Stupid Kundustan
Sasa Tanzania kuna urahisi gani ? Wewe ni ccm mpuuziUrahisi gani mkuu acha kudanganya watu
Watanzania sio wavumilivu ila ni maitiWakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.
Inategemea Tanzania sehem fani. Mbeya chips za 3000 unaletewa benseni zima.Kenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Jinga hilo π€£π€£π€£Stupid. The most worst constitution ni ya Kenya. Unaongea hivyo kwa sababu wewe ni Mkenya.
Hebu tuambie ubora wa Katiba ya kenya tucheke π π π π
Kwahiyo kati ya Kenya na Tanzania wapi kuna middle class wengi?Kenya middle class ni wengi ndio, na maskini ni wengi pia.
Jamaa jinga kweli. Eti kenya kuna middle class wengi halafu hapo hapo maskini ni wengi.Kwahiyo kati ya Kenya na Tanzania wapi kuna middle class wengi?
,π€£π€£π€£Jamaa jinga kweli. Eti kenya kuna middle class wengi halafu hapo hapo maskini ni wengi.
Yaani middle class ni wengi kuliko Tanzania also Maskini ni wengi kuliko Tanzania. π π π π
Akili za wenzetu zipo kwenye makalio
Urahisi gani kama kupanda bei ya mkate tu mnaandamana rais aondoke madarakaniKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Urahisi wa maisha sio chakula tu, pia ugali sukuma au githeri ni bora kuliko chips za 3,000 .Inategemea Tanzania sehem fani. Mbeya chips za 3000 unaletewa benseni zima.
Huwezi kuelewa haya mambo wakati wewe sukari kilo hata ukiuziwa sh elfu kumi unakodoa macho tu kama mdoli.Urahisi gani kama kupanda bei ya mkate tu mnaandamana rais aondoke madarakani