Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Kwa kweli nyie wafuasi wa yule Nduli wa Chatto usukumani mnyamaza kabisaaaa! Tuna hasira sana na nyie maana mliharibu nchi kabisa! Uliwahi kuona wapi nchi inayoitwa ya kidemokrasia, yenye nembo ya Uhuru na Umoja watu wanapotezwa hovyo, wanaokotwa kwenye viroba, wanapigwa risasi, n.k halafu mkuu wa kaya hana hata muda na wala hashituki.
Ujinga...!
 
Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu.

Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano na ahadi za Rais. Hii haifai. Leo Dangote, kesho wawekezaji wa Ulaya, kesho wachina, wahindi, Wakenya, n.k. mpaka lini hali hii?

Sasa Ikulu ni ya wafanyabiashara, wakiitwa wawekezaji. Ni vigumu kwa mkulima mashuhuri kufika Ikulu. Rais hajakutana na kundi lolote la waajiliwa wake; iwe Jeshi, waalimu, idara ya afya, nk.

Imekuwa ni rahisi sana Dangote kufika Ikulu kujadili uwekezaji wa kiwanda kimoja tu. Kuna udhaifu gani unaotafutwa Ikulu? Ni kugawa shares za kiwanda kama tulivyowahi sikia?

Huu sasa umekuwa mtindo wa kudumu kwa marais wetu wa CCM.
Baada ya kumzushia JK sasa mmekuja tena huku .
 
Mama anarudisha nchi sawa maana lilipotea hii. Mama anajenga na kurudisha mahusiano mapya kiuchumi na kijamii kwa sababu yaliuwawa kifo cha asili. Mama anajua jinsi ta kuthamini mwekezaji. Anamkaribisha ndipo anawakabidhi kwa wa mawaziri husika. Mama ni kiongozi anayejua thamani na dhamana ya uongozi. Mama anazo akili za kiutendaji na siyo zile akili za Power Mabula. Naweka pause hapa.

Mwacheni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan afanye kazi yake. Ni kiongozi Mungu alitupa kwa wakati unaofaa sana.

Mungu ni fundi kabisa hababaishi.
 
Hapana! Hata waganda walisema haifai kumuacha Amin muuaji na kumfuata Obote muuaji tena. Huyu itakuwa kama kombolela: namtilia msahaka tangu uzoefu hadi elimu yake, imeungwa saaana!
Kama ile PhD fake iliyotumbukiza nchi shimoni. Ghafla Tanzania yenye sifa ikageuka nchi ya Dictator muuaji. Waliomkosoa wako wapi? Wamekutana sasa mbele ya hukumu ya Mungu mmoja akiwa na mikono imejaa damu za waliopotezwa na waliopigwa risasi. Mungu si Athuman aisee. Sukuma gang nyumbu kabisa.
 
Kwenye nchi yenye ukiritimba kama yetu, anachofanya Mama kiko sahihi kabisa. Tuna wakoloni weusi kisa wanafanya kazi za umma. Ni ujuaji na kusumbua watu tu, hawa wafanya biashara
Ni sahihi sana ili kukwepa watu wapuuzi, lakini iweje mtu aendeshe serikali na watu asiowaamini? Majukumu mengine aliyowaachia kutenda, bado watayafanya kipumbavu tu!
 
Hebu mataga pori mkae kwa kutulia ,
hao wafanyabiashara wanaenda kumueleza Mama Samia jinsi walivyonyanyaswa na kufilisiwa na mzee pombe.
Waeleze mkuu wangu Daudi Mchambuzi . Wafanyabiashara waliteswa, waliompinga walikiona cha moto wengine haijulikani walipo. Wakimaliza hao wafanyabiashars itakuja zamu ya wale waliopotelewa na ndugu zao ambao wengine walitekwa na wengine walichukuliwa mbele ya macho ya binadamu. Mpaka kiekeweke. MATAGA endeleeni kutaga kokoto.
 
Kuna kitu watu hawajui mama ana deal na national issue yule mpumbavu alideal personal issue aliingilia hata maisha watu na familia zao ukifunga account,kuvuruga biashara za watu,kuua watu na ukifunga kwa kuwabambikia kesi hapana yule jamaa alikuwa katili na wala sio msukuma hakuna watu wa namna hii tanzania
Damu yake itakuwa iliazimwa jirani
 
nishakujibu - na kama inakuuma saana mama Samia kufanya mkutano na Dangote basi tafuta pa kwenda !! Maana kwa sasa huna lolote unaloweza kufanya !!
Nawe Boss, una kaosoro ya maumbile kichwani. Kwani hapa tunazomeana? Toa hoja! Nchi haiendeshwi kwa kushangiliana bila sababu. Hayo yanafaa uwanja wa mpira.
 
Running a government is not like family matters, either a government is not a company it needs collective leadership
In what context?

You seem to be discussing your own imagined topic different from the one under discussion with these one liner statements.

Now tell us about that "collective leadership" you're seeing in the current scenario.
 
In what context?

You seem to be discussing your own imagined topic different from the one under discussion with these one liner statements.

Now tell us about that "collective leadership" you're seeing in the current scenario.
Hivi, English ni tatizo kiasi hiki nchini?
 
  • Kicheko
Reactions: Ole
Ni sahihi sana ili kukwepa watu wapuuzi, lakini iweje mtu aendeshe serikali na watu asiowaamini? Majukumu mengine aliyowaachia kutenda, bado watayafanya kipumbavu tu!
Mkuu kwani wewe ni lazima uwe muajiriwa wa serikali? Kama veep acha kazi uende kuanzisha TRA yako mwenyewe. Kuna watu huwa mnajisahau kwamba hakuna mtu ambaye kama hayupo basi mambo yatasimama. Mwendazake kaja na kaenda na Tanzania bado ipo.
Muacheni Mama naye aweke identity yake. Muda ndio utatoa hukumu.
 
Magufuli alipokutana na Dangote Ikulu


Umeona sasa ushahidi (kwa kwetu Zenji) wa Kinyamwezi? Yaani huyu Dangote alikuwa anakwenda Ikulu wakati wa JPM na hata hicho kiwanda cha mbolea alishakizungumzia katika kipindi chake. Leo amekwenda tena imekuwa ni jambo geni.
 
So, this was the reason behind their meeting recently, was it! And Dangote came out smiling, promising to bring in more investors whose workers will be marginalized!

Was he reassured by the president that there will be no work stoppage in future, no matter what?

What will happen if our farmers took the same approach in order for their problems be heard by the head of state?

Will this be her way of solving problems in future in other sectors of the economy?

If need be YES , because ultimately the buck stops at her door step!!
 
If need be YES , because ultimately the buck stops at her door step!!
Okay, I am going to mobilize our group of peasany farmers match to her door, if that's what it takes to get her attention to our problems!
 
Back
Top Bottom