Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Una tatizo la maono na uelewa. Tangu lini rais akawa na uwezo wa kubadili sera ikulu? Anweza kutoa matamko na mchakato ukaanza. Hiyo inahitaji kutembelewa ikulu?
Wewe ndiye mwenye tatizo la uelewa soma vizuri nilichoondika nimeongelea kuhusu mjasiriamli na yanayo mzunguka ni somo refu (the entrepreneur and his environment)
 
Punguani mkubwa wewe, unahasira nao za kuwafanya nini...,! Sema utawafanya nini wasukuma?
Kati ya mimi na wewe nani punguani hapo? Kati ya wafuasi wa SSH na wale wa JPM nani punguani hapo? Kati ya ninyi mnaoshangilia wapinzani wetu wa kisiasa kupigwa risasi na tunaosema wapinzani waachwe tupambane kwenye majukwaa ya kisiasa nani punguani?
 
Kihavaaaa!!!

Unamatatizo makubwa, ulisema unakitu cha kuwafanya wsukuma, Nani nimekuuliza, utawafanya nini...?
Ulichokiandika hapa ni ujinga mwingine tena
 
Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu.

Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano na ahadi za Rais. Hii haifai. Leo Dangote, kesho wawekezaji wa Ulaya, kesho wachina, wahindi, Wakenya, n.k. mpaka lini hali hii?

Sasa Ikulu ni ya wafanyabiashara, wakiitwa wawekezaji. Ni vigumu kwa mkulima mashuhuri kufika Ikulu. Rais hajakutana na kundi lolote la waajiliwa wake; iwe Jeshi, waalimu, idara ya afya, nk.

Imekuwa ni rahisi sana Dangote kufika Ikulu kujadili uwekezaji wa kiwanda kimoja tu. Kuna udhaifu gani unaotafutwa Ikulu? Ni kugawa shares za kiwanda kama tulivyowahi sikia?

Huu sasa umekuwa mtindo wa kudumu kwa marais wetu wa CCM.
mtu aliyewekeza karibia Tshs Trillion moja na ushee si mtu wa kubeza !! nyie wengine wa mafungu tutakuta kwa mafungu!! aliyenacho ni lazima apate nafasi na heshima yake, ndiyo maana Bill Gates anaweza kuomba mkutano na Biden na akaruhusiwa kwenda kuonana naye bila vikwazo.

Mama twende kazi - wataelewa tu hawa !!
 
Magufuli alikutana na wafanyabiashara kama taasisi.
Mama anakutana na mfanyabiashara. Anazungumza naye nini? au anakwenda kukumbusha ahadi za Kikwete kwa dangote ambazo Magu alipiga chini? Alewe gesi bure.
 
Unaweza kusema kilichoandikwa ni ujinga kumbe unayesoma ndiye tatizo kwa kutokujua kilichoandikwa, na kutokujua huko ndio ujinga wenyewe. Kwa hiyo uwe makini kumwita mtu aliyeandika kitu fulani ni mjinga kumbe ni wewe usomaye na kushindwa kuelewa
 
mtu aliyewekeza karibia Tshs Trillion moja na ushee si mtu wa kubeza !! nyie wengine wa mafungu tutakuta kwa mafungu!! aliyenacho ni lazima apate nafasi na heshima yake, ndiyo maana Bill Gates anaweza kuomba mkutano na Biden na akaruhusiwa kwenda kuonana naye bila vikwazo.

Mama twende kazi - wataelewa tu hawa !!
HAdithi kama hiyo ndo ilisababisha Joyce Banda kukubali ushoga ili tu Malawi ipewe pesa. Uko tayari kwa hilo?
 
Magufuli alikutana na wafanyabiashara kama taasisi.
Mama anakutana na mfanyabiashara. Anazungumza naye nini? au anakwenda kukumbusha ahadi za Kikwete kwa dangote ambazo Magu alipiga chini? Alewe gesi bure.
Kama unmemmisi sana JIWE cha kufanya ni kumfuata tu hata kwa kujinyonga, kuliko kila siku Magu Magu Magu..... Mnatuchosha
 
Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu.

Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano na ahadi za Rais. Hii haifai. Leo Dangote, kesho wawekezaji wa Ulaya, kesho wachina, wahindi, Wakenya, n.k. mpaka lini hali hii?

Sasa Ikulu ni ya wafanyabiashara, wakiitwa wawekezaji. Ni vigumu kwa mkulima mashuhuri kufika Ikulu. Rais hajakutana na kundi lolote la waajiliwa wake; iwe Jeshi, waalimu, idara ya afya, nk.

Imekuwa ni rahisi sana Dangote kufika Ikulu kujadili uwekezaji wa kiwanda kimoja tu. Kuna udhaifu gani unaotafutwa Ikulu? Ni kugawa shares za kiwanda kama tulivyowahi sikia?

Huu sasa umekuwa mtindo wa kudumu kwa marais wetu wa CCM.
Kama vile TRA ilivyokuwa inadai kodi kwa kwenda nyuma, sasa kodi inatafutwa kwa kwenda mbele..kutafuta serious investors. Hawa wapya sijui mtasema nao wameshakwepa kodi kwa sababu walianzia ofisi kubwa????
 
So, this was the reason behind their meeting recently, was it! And Dangote came out smiling, promising to bring in more investors whose workers will be marginalized!

Was he reassured by the president that there will be no work stoppage in future, no matter what?

What will happen if our farmers took the same approach in order for their problems be heard by the head of state?

Will this be her way of solving problems in future in other sectors of the economy?
Why not?
 
HAdithi kama hiyo ndo ilisababisha Joyce Banda kukubali ushoga ili tu Malawi ipewe pesa. Uko tayari kwa hilo?
tulia wewe, babako alivyokuwa anaingia kwenye acc za watu na kukomba hela afu anajifanya eti kakusanya kodi unafikiri sisi hatujui eee !!
 
Kwenye nchi yenye ukiritimba kama yetu, anachofanya Mama kiko sahihi kabisa. Tuna wakoloni weusi kisa wanafanya kazi za umma. Ni ujuaji na kusumbua watu tu, hawa wafanya biashara
 
tulia wewe, babako alivyokuwa anaingia kwenye acc za watu na kukomba hela afu anajifanya eti kakusanya kodi unafikiri sisi hatujui eee !!
Nakuuliza kama una ubongo, wewe unasema una mkia mrefu. Ukiulizwa toa jawabu linaloendana na swali.
 
nishakujibu - na kama inakuuma saana mama Samia kufanya mkutano na Dangote basi tafuta pa kwenda !! Maana kwa sasa huna lolote unaloweza kufanya !!
 
Hebu mataga pori mkae kwa kutulia ,
hao wafanyabiashara wanaenda kumueleza Mama Samia jinsi walivyonyanyaswa na kufilisiwa na mzee pombe.
Task force wamenyang'anywa ulaji...walizoea kutamba na mbwembwe nyingi wakati wanakusanya kodi. Sasa mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom