Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Ujinga...!
 
Baada ya kumzushia JK sasa mmekuja tena huku .
 
Mama anarudisha nchi sawa maana lilipotea hii. Mama anajenga na kurudisha mahusiano mapya kiuchumi na kijamii kwa sababu yaliuwawa kifo cha asili. Mama anajua jinsi ta kuthamini mwekezaji. Anamkaribisha ndipo anawakabidhi kwa wa mawaziri husika. Mama ni kiongozi anayejua thamani na dhamana ya uongozi. Mama anazo akili za kiutendaji na siyo zile akili za Power Mabula. Naweka pause hapa.

Mwacheni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan afanye kazi yake. Ni kiongozi Mungu alitupa kwa wakati unaofaa sana.

Mungu ni fundi kabisa hababaishi.
 
Hapana! Hata waganda walisema haifai kumuacha Amin muuaji na kumfuata Obote muuaji tena. Huyu itakuwa kama kombolela: namtilia msahaka tangu uzoefu hadi elimu yake, imeungwa saaana!
Kama ile PhD fake iliyotumbukiza nchi shimoni. Ghafla Tanzania yenye sifa ikageuka nchi ya Dictator muuaji. Waliomkosoa wako wapi? Wamekutana sasa mbele ya hukumu ya Mungu mmoja akiwa na mikono imejaa damu za waliopotezwa na waliopigwa risasi. Mungu si Athuman aisee. Sukuma gang nyumbu kabisa.
 
Kwenye nchi yenye ukiritimba kama yetu, anachofanya Mama kiko sahihi kabisa. Tuna wakoloni weusi kisa wanafanya kazi za umma. Ni ujuaji na kusumbua watu tu, hawa wafanya biashara
Ni sahihi sana ili kukwepa watu wapuuzi, lakini iweje mtu aendeshe serikali na watu asiowaamini? Majukumu mengine aliyowaachia kutenda, bado watayafanya kipumbavu tu!
 
Hebu mataga pori mkae kwa kutulia ,
hao wafanyabiashara wanaenda kumueleza Mama Samia jinsi walivyonyanyaswa na kufilisiwa na mzee pombe.
Waeleze mkuu wangu Daudi Mchambuzi . Wafanyabiashara waliteswa, waliompinga walikiona cha moto wengine haijulikani walipo. Wakimaliza hao wafanyabiashars itakuja zamu ya wale waliopotelewa na ndugu zao ambao wengine walitekwa na wengine walichukuliwa mbele ya macho ya binadamu. Mpaka kiekeweke. MATAGA endeleeni kutaga kokoto.
 
Damu yake itakuwa iliazimwa jirani
 
nishakujibu - na kama inakuuma saana mama Samia kufanya mkutano na Dangote basi tafuta pa kwenda !! Maana kwa sasa huna lolote unaloweza kufanya !!
Nawe Boss, una kaosoro ya maumbile kichwani. Kwani hapa tunazomeana? Toa hoja! Nchi haiendeshwi kwa kushangiliana bila sababu. Hayo yanafaa uwanja wa mpira.
 
Running a government is not like family matters, either a government is not a company it needs collective leadership
In what context?

You seem to be discussing your own imagined topic different from the one under discussion with these one liner statements.

Now tell us about that "collective leadership" you're seeing in the current scenario.
 
In what context?

You seem to be discussing your own imagined topic different from the one under discussion with these one liner statements.

Now tell us about that "collective leadership" you're seeing in the current scenario.
Hivi, English ni tatizo kiasi hiki nchini?
 
Reactions: Ole
Ni sahihi sana ili kukwepa watu wapuuzi, lakini iweje mtu aendeshe serikali na watu asiowaamini? Majukumu mengine aliyowaachia kutenda, bado watayafanya kipumbavu tu!
Mkuu kwani wewe ni lazima uwe muajiriwa wa serikali? Kama veep acha kazi uende kuanzisha TRA yako mwenyewe. Kuna watu huwa mnajisahau kwamba hakuna mtu ambaye kama hayupo basi mambo yatasimama. Mwendazake kaja na kaenda na Tanzania bado ipo.
Muacheni Mama naye aweke identity yake. Muda ndio utatoa hukumu.
 
Magufuli alipokutana na Dangote Ikulu

Umeona sasa ushahidi (kwa kwetu Zenji) wa Kinyamwezi? Yaani huyu Dangote alikuwa anakwenda Ikulu wakati wa JPM na hata hicho kiwanda cha mbolea alishakizungumzia katika kipindi chake. Leo amekwenda tena imekuwa ni jambo geni.
 

If need be YES , because ultimately the buck stops at her door step!!
 
If need be YES , because ultimately the buck stops at her door step!!
Okay, I am going to mobilize our group of peasany farmers match to her door, if that's what it takes to get her attention to our problems!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…