KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ni kama hujui kusoma na kuandika vile! Wanaozungumziwa ni tabia ya viongozi wa CCM. Magufuli alikuwa CHADEMA?Acheni chuki zenu kwa mama. Mbona Magufuli alipokutana na Dangote ikulu hamkutia neno?...
Watakuita sukuma gang soonWatanzania wanaamini wafanya biashara ndo watawapeleka uchumi wa kati wa juu ila hawajui mfanyabiashara siku zote anaangalia faida tu si kitu kingine
Nionavyo kakuna sababu ya kufuatwa na mtu ikulu. Au wanapeleka mshiko?Ulitaka akakutane na dangote wapi
We mbugila kweli
Ova
Ni lini hatukuwa shamba la bibi?Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.
Msitegemee Rais afanye kila kitu, kama kuna shida kwenye kilimo mbona kuna waziri wa kilimo.EeenHeee,
Utalia sana mkuu 'Zygot', huu ni mwanzo tu!
Hapana, mimi sitaki wakulima mashuhuri pekee ndio waende ikulu. Mimi nasubiri awafuate walipo na nisikie mipango yake kwao.
Mpaka hapo atakapofanya hivyo, nitaendelea kuungana nawe na kuililia Tanzania inayoandaliwa kurudi kwenye uchuuzi.
Sisi tunanyamaza maana tukisema tunaitwa sukuma gangkwa sasa praise team wamebaki wa Msoga na ndugu zao Chadema,ndo kutwa na mapambio Daah nchi hii mmmhh
Tutaanza kuona mifuko ya rambo ikiingia ikulu. Wameshajua bei yake.Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.
Acha apewe chochote atakacho, kuliko kutawaliwa na yule dhalimu aliyeko ahera.Tatizo naliona kwa huyu Dangote. Yaani ni mgeni wa kudumu ikulu. Kwa Kikwete alifika, kwa magufuli alifika sasa kamuanza Samia. Bahati mbaya wote wanampokea utadhani ndo baba wa biashara nchini. Kiwanda chenyewe kimoja tu!
Kuna hadithi kwamba wanasiasa wanawinda kupewa shares kwenye kiwanda chake na ndo sababu aliahidiwa mengi nje ya sheria za nchi.
Watu walilia kutaka kiongozi mbabe akatokea na watu kushangilia kweli kweli hata robo haijafika kilio mara oooh tunakufa, mara dikteta, mara sijui nini, leo tena oooh ikulu ina_#@?&%...Sisi tunanyamaza maana tukisema tunaitwa sukuma gangkwa sasa praise team wamebaki wa Msoga na ndugu zao Chadema,ndo kutwa na mapambio Daah nchi hii mmmhh
Hapana! Hata waganda walisema haifai kumuacha Amin muuaji na kumfuata Obote muuaji tena. Huyu itakuwa kama kombolela: namtilia msahaka tangu uzoefu hadi elimu yake, imeungwa saaana!Acha apewe chochote atakacho, kuliko kutawaliwa na yule dhalimu aliyeko ahera.
Tutaanza kuona mifuko ya rambo ikiingia ikulu. Wameshajua bei yake.
Kwani huko kwenye biashara hakuna wahusika; wewe vipi bhwana, mbona unabwatuka tu bila kutumia akili.Msitegemee Rais afanye kila kitu, kama kuna shida kwenye kilimo mbona kuna waziri wa kilimo.
Rais anaingilia tu pale wasaidizi wake wanapopata kigugumizi, Kwa mfano kiwanda cha Dangote kilikuwa na matatizo ndio maana aliingilia kati!
Mwigulu ndo wa wiazara ya viwanda? Ndo yuko TIC? nawe bhana vipi? KIla mtu anataja anayemchukia bila hata sababu!Kwa hio dangote akakutane na mwigulu
mwigulu Ni muuaji
Nashawishika kukubaliana nawe, lakini, aaah, HAPANA. Hapo hakuna lililo bora.Iingie tani kwa matani, kuliko ikulu kutumika kupanga mauaji ya wapinzani.
Hapana! Hata waganda walisema haifai kumuacha Amin muuaji na kumfuata Obote muuaji tena. Huyu itakuwa kama kombolela: namtilia msahaka tangu uzoefu hadi elimu yake, imeungwa saaana!
Nyie wasukuma mnapata shida Sana aisee , maana mmekua watu wa kupinga tu sasa , sijui mnapigia chepuo nani aingie ikulu , Kama magufuli hayupo tena na hawezi kuwepo tena.
Kama VIP hameni Nchi Kama walivyofanya wale waliokua hawamuelewi magufuli .
Usiwajumlishe wasukuma wote unakosea,pia hao ni wapiga kura wa rais wetu.Nyie wasukuma mnapata shida Sana aisee , maana mmekua watu wa kupinga tu sasa , sijui mnapigia chepuo nani aingie ikulu , Kama magufuli hayupo tena na hawezi kuwepo tena.
Kama VIP hameni Nchi Kama walivyofanya wale waliokua hawamuelewi magufuli .