KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Wasaidizi wake waliweza kuyatatua lni, na umejuaje kwamba matatizo ya Dangote hayawezi kutatuliwa na wasaidizi wake. Ni nani anajitoa ufahamu hapa?Mbona unajitoa ufahamu! Sijakwambia huko Kwa wakulima hakuna matatizo; kama wasaidizi wake wanaweza kuyatatua hakuna ulazima wa yeye kwenda. Kwenye kiwanda cha Dangote uzalishaji Na usafirishaji wa saruji ulisimama Kwa muda mrefu kutokana Na kutoelewana ambako wasaidizi wake walishindwa kutatua! Ndio maana hata Yule RC wa kule akatumbuliwa!
Mnataka mama aje mashambani kwenu hata kabla hajateua MaDc wa wilayani kwenu nyie Gang!
Vuteni subira, vitu vizuri wanapata wavumilivu !!
Alitakiwa aje mashambani siku ile alipomaliza kumweka kaburini Magufuli, that's how urgent it was, and remains so, mpaka kesho kutwa.