Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Tatizo naliona kwa huyu Dangote. Yaani ni mgeni wa kudumu ikulu. Kwa Kikwete alifika, kwa magufuli alifika sasa kamuanza Samia. Bahati mbaya wote wanampokea utadhani ndo baba wa biashara nchini. Kiwanda chenyewe kimoja tu!

Kuna hadithi kwamba wanasiasa wanawinda kupewa shares kwenye kiwanda chake na ndo sababu aliahidiwa mengi nje ya sheria za nchi.
Dangote ni mfanyabiashara mkubwa

Ova
 
Tanzania haijawahi kutoka kwenye uchuuzi.
Dangote, Rostam na wawekezaji wa Gwajima wote tuliwaona Magogoni.Nyie ni wanafki tu.
EeenHeee,

Utalia sana mkuu 'Zygot', huu ni mwanzo tu!

Hapana, mimi sitaki wakulima mashuhuri pekee ndio waende ikulu. Mimi nasubiri awafuate walipo; hasa hao hohehahe wenzetu wanaolanguliwa mazao yao na nisikie mipango yake kuwainua ikoje.

Mpaka hapo atakapofanya hivyo, nitaendelea kuungana nawe na kuililia Tanzania inayoandaliwa kurudi kwenye uchuuzi.
 
Kwani huko kwenye biashara hakuna wahusika; wewe vipi bhwana, mbona unabwatuka tu bila kutumia akili.

Wakulima wa nchi hii hawana matatizo makubwa kushinda hayo ya kiwanda cha Dangote, au wewe unaishi wapi?

Walipo wakulima wa nchi hii ndiko anakotakiwa rais awepo. Ndipo penye uhitaji mkubwa wa miongozo yake ili kuleta mabadiliko chanya kwa walio wengi haraka.
Mbona unajitoa ufahamu! Sijakwambia huko Kwa wakulima hakuna matatizo; kama wasaidizi wake wanaweza kuyatatua hakuna ulazima wa yeye kwenda. Kwenye kiwanda cha Dangote uzalishaji Na usafirishaji wa saruji ulisimama Kwa muda mrefu kutokana Na kutoelewana ambako wasaidizi wake walishindwa kutatua! Ndio maana hata Yule RC wa kule akatumbuliwa!
Mnataka mama aje mashambani kwenu hata kabla hajateua MaDc wa wilayani kwenu nyie Gang!
Vuteni subira, vitu vizuri wanapata wavumilivu !!
 
Acheni chuki zenu kwa mama. Mbona Magufuli alipokutana na Dangote ikulu hamkutia neno?
Anachosahau mleta mada ni ukweli kwamba rais na waziri ni team moja, wote ni watumishi wa umma.

Kuna watu wanateseka sana mioyoni mwao, na hakuna dawa ya kuyatibu mateso waliyonayo.
 
Kazi inaendelea ya kusawazisha diplomasia ya kiuchumi na balozi namba moja wa nchi yaani Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameamua kuonesha nia ya dhati ulimwengu kuwa wanakaribishwa Tanzania wawe wafanyabiashara wakubwa au ujumbe wa mawaziri au watu wenye ushawishi wote wanakaribishwa kwa mikono miwili.

Habari za hivi punde:

25 May 2021

Dar es Salaam Tanzania and Riyadh Saudi Arabia

Tanzanian president holds talks with Saudi foreign minister​

main
Photo: Tanzanian President Samia Suluhu Hassan receives Saudi Arabia’s Foreign Minister Prince Faisal bin Farhan. (SPA)

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan received Saudi Arabia’s Foreign Minister Prince Faisal bin Farhan, and his accompanying delegation, at the Presidential Palace in Dar es Salaam on Tuesday, the Kingdom’s foreign ministry said.

Prince Faisal arrived in Tanzania earlier on Tuesday on an official visit, where he was received at Julius Nyerere International Airport by his Tanzanian counterpart Liberata Mulamula.

During the reception, the Saudi foreign Minister conveyed greetings from King Salman and Crown Prince Mohammed bin Salman, while Hassan reciprocated the sentiments.

President Samia Suluhu Hassan said she “appreciated the Kingdom’s tireless efforts in support of regional and international efforts to lay the foundations of security and stability, resolve conflicts in the African continent, advance development and enhance investment.”

During the meeting, they also reviewed bilateral relations and ways to enhance them in all fields, in addition to discussing regional and international developments and issues of common interest.

Source : Tanzanian president holds talks with Saudi foreign minister
 
yaani hii nayo ni nini sasa!!!?! . mwekezaji mkubwa hadeal na wizara moja tu ya viwanda na biashara lazima ata cut across wizara nyingi tu ikiwemo fedha,nishati,maji,ardhi,mazingira,kazi,mambo ya ndani,n.k. sasa hapo unadhani atakutana na nani ajadili naye yote haya?!?
 
Back
Top Bottom