Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.

Nitatoa mifano 5

1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF na kuandika propaganda za uongo kuhusu majenereta na utumbo mwingine.

Mvua zimenyesha, mgao wa maji na umeme vimekoma, wamekasirika

2. Samia kaondoa zuio haramu la mikutano ya vyama, kapongezwa na wadau ndani na nje ya nchi kwa kukomaza demokrasia na kutogoopa kukosolewa, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

3. Nchi hii wananchi wa kawaida, watu maarufu na viongozi walikuwa wakipukutika kila mwezi kwa ugonjwa wa "Changamoto za upumuaji" kipindi cha jiwe, Samia kaingia kafuata ushauri wa wanasayansi hatujawahi kusikia viongozi wanafariki hovyo, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

4. Samia alipofanya ziara Kenya na kurudisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia yaliyokuwa yamevurugwa na yule kichaa, watu hawa waekasirishwa tena hatari.

5. Wapinzani wanaishi kwa amani siku hizi, hakuna kukamatwa, kutekwa ama kupigwa risasi tena, wamempongeza Samia, watu hawa wameksirika balaa.

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?
 
aka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivy
 
Na huu ndiyo ushahidi kuwa hawa watu ni wahamiaji haramu,wanajivika koti la usukuma lakini ukweli ni kuwa ni wahutu ndiyo maana hawapendi amani. Wasukuma ni watu wastaarabu,wapole na wenye upendo tofauti kabisa na yule mwendakuzimu na wafuasi wake.
 
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.

Nitatoa mifano 5

1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF na kuandika propaganda za uongo kuhusu majenereta na utumbo mwingine.

Mvua zimenyesha, mgao wa maji na umeme vimekoma, wamekasirika

2. Samia kaondoa zuio haramu la mikutano ya vyama, kapongezwa na wadau ndani na nje ya nchi kwa kukomaza demokrasia na kutogoopa kukosolewa, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

3. Nchi hii wananchi wa kawaida, watu maarufu na viongozi walikuwa wakipukutika kila mwezi kwa ugonjwa wa "Changamoto za upumuaji" kipindi cha jiwe, Samia kaingia kafuata ushauri wa wanasayansi hatujawahi kusikia viongozi wanafariki hovyo, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

4. Samia alipofanya ziara Kenya na kurudisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia yaliyokuwa yamevurugwa na yule kichaa, watu hawa waekasirishwa tena hatari.

5. Wapinzani wanaishi kwa amani siku hizi, hakuna kukamatwa, kutekwa ama kupigwa risasi tena, wamempongeza Samia, watu hawa wameksirika balaa.

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?
Kila siku wanamwombe Rais Samia ashindwe ili mtu wao wamuone alikuwa shujaaa
 
Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
aka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivy
kamfufue uzikwe wewe mkuu
 
Jikite kwenye mada, Kwa Nini mnataka nchi ipate majanga na Kwa Nini mnafurahi nchi kupata majanga?

Nchi ni zaidi ya huyo Magufuli au Lissu sisi tunasimama na nchi sio hao miungu wako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Ushahidi huo ulioweka, Kwanini,Usiwatangaze wewe mwenyewe?

Wachochezi wa aina yeyote ni maadui kwa jamii yake ya karibu, na Jamii yote kwa ujumla.

Tangaza tu kama itakupa faraja.
 
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.

Nitatoa mifano 5

1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF na kuandika propaganda za uongo kuhusu majenereta na utumbo mwingine.

Mvua zimenyesha, mgao wa maji na umeme vimekoma, wamekasirika

2. Samia kaondoa zuio haramu la mikutano ya vyama, kapongezwa na wadau ndani na nje ya nchi kwa kukomaza demokrasia na kutogoopa kukosolewa, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

3. Nchi hii wananchi wa kawaida, watu maarufu na viongozi walikuwa wakipukutika kila mwezi kwa ugonjwa wa "Changamoto za upumuaji" kipindi cha jiwe, Samia kaingia kafuata ushauri wa wanasayansi hatujawahi kusikia viongozi wanafariki hovyo, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

4. Samia alipofanya ziara Kenya na kurudisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia yaliyokuwa yamevurugwa na yule kichaa, watu hawa waekasirishwa tena hatari.

5. Wapinzani wanaishi kwa amani siku hizi, hakuna kukamatwa, kutekwa ama kupigwa risasi tena, wamempongeza Samia, watu hawa wameksirika balaa.

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?

Mambo ya Vyama magumu sana na mambo Kama haya huwa yanaumiza Tu kichwa na kuleta njaa kwa kuwa, pamoja na mambo mengine, mwandishi anaonekana kuwa mwanachama wa chama cha upinzani kwa CCM na pia anamchukia personal marehemu. Sasa hili ni tatizo kubwa sana, mana Kama mtu anapambana na marehemu, unamsaidiaje kumove on?

Jitahidini kutafuta mileage kwa sera zenu. Mmejenga kajumba hewani na mnataka kila mtu apande. We have Samia. Kupenda marehemu, hata Mimi niliona JPM anaipeleka nchi kuzuri. Watanzania wavivu sana na mission town, so kuwalea Kama yai, hatutaendelea.
 
Back
Top Bottom