Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

Umenikumbusha mbali Sana.

Mzee Silaa alitoa list of shame. Baadae naye akawa shameful
 
Kuhoji kilo ya sembe kutoka tshs 800 hadi tshs 2000 ni uadui?
 
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.

Nitatoa mifano 5

1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF na kuandika propaganda za uongo kuhusu majenereta na utumbo mwingine.

Mvua zimenyesha, mgao wa maji na umeme vimekoma, wamekasirika

2. Samia kaondoa zuio haramu la mikutano ya vyama, kapongezwa na wadau ndani na nje ya nchi kwa kukomaza demokrasia na kutogoopa kukosolewa, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

3. Nchi hii wananchi wa kawaida, watu maarufu na viongozi walikuwa wakipukutika kila mwezi kwa ugonjwa wa "Changamoto za upumuaji" kipindi cha jiwe, Samia kaingia kafuata ushauri wa wanasayansi hatujawahi kusikia viongozi wanafariki hovyo, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

4. Samia alipofanya ziara Kenya na kurudisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia yaliyokuwa yamevurugwa na yule kichaa, watu hawa waekasirishwa tena hatari.

5. Wapinzani wanaishi kwa amani siku hizi, hakuna kukamatwa, kutekwa ama kupigwa risasi tena, wamempongeza Samia, watu hawa wameksirika balaa.

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?
Jpm alifariki sawa' kwa nini ccm mlifurahi na kuruhusu atukunwe mpaka mjane wake na wajane wengine?

Kwa nini mlifurahia kifo chake
 
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie.

Nitatoa mifano 5

1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF na kuandika propaganda za uongo kuhusu majenereta na utumbo mwingine.

Mvua zimenyesha, mgao wa maji na umeme vimekoma, wamekasirika

2. Samia kaondoa zuio haramu la mikutano ya vyama, kapongezwa na wadau ndani na nje ya nchi kwa kukomaza demokrasia na kutogoopa kukosolewa, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

3. Nchi hii wananchi wa kawaida, watu maarufu na viongozi walikuwa wakipukutika kila mwezi kwa ugonjwa wa "Changamoto za upumuaji" kipindi cha jiwe, Samia kaingia kafuata ushauri wa wanasayansi hatujawahi kusikia viongozi wanafariki hovyo, watu hawa wamekasirishwa tena hatari.

4. Samia alipofanya ziara Kenya na kurudisha mahusiano ya kiuchumi na kidiplomasia yaliyokuwa yamevurugwa na yule kichaa, watu hawa waekasirishwa tena hatari.

5. Wapinzani wanaishi kwa amani siku hizi, hakuna kukamatwa, kutekwa ama kupigwa risasi tena, wamempongeza Samia, watu hawa wameksirika balaa.

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?
Ni Ccm wao kwa wao ni baina ya walamba asali wa sasa na wale waliopita !! Kwahiyo Ngoma droo !!
 
Hao tuwachukulie ni wale vichaa mmoja kila watanzania wanne,kwa kujibu wa takwimu za watafiti fulani🤸🤸
 
Back
Top Bottom