Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

Umenikumbusha mbali Sana.

Mzee Silaa alitoa list of shame. Baadae naye akawa shameful
 
Kuhoji kilo ya sembe kutoka tshs 800 hadi tshs 2000 ni uadui?
 
Jpm alifariki sawa' kwa nini ccm mlifurahi na kuruhusu atukunwe mpaka mjane wake na wajane wengine?

Kwa nini mlifurahia kifo chake
 
Ni Ccm wao kwa wao ni baina ya walamba asali wa sasa na wale waliopita !! Kwahiyo Ngoma droo !!
 
Hao tuwachukulie ni wale vichaa mmoja kila watanzania wanne,kwa kujibu wa takwimu za watafiti fulani🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…