Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli wanachukia maridhiano ya Rais Samia na Wapinzani, hawataki amani?

2025 wote mtapiga Utan kumpamba Magu ili mpate kura.
Magu amekufa lakini anaendelea kuwanyima usingizi kila siku.

Hapa mnateseka kwa sababu ya kazizake, kazizake ndio zinajieleza na kumbeba.
Kazizake ndio zitawafanya mvurugane sikumoja.
 
Kuna wahutu waliingizwa nchini.
 
2025 wote mtapiga Utan kumpamba Magu ili mpate kura.
Magu amekufa lakini anaendelea kuwanyima usingizi kila siku.

Hapa mnateseka kwa sababu ya kazizake, kazizake ndio zinajieleza na kumbeba.
Kazizake ndio zitawafanya mvurugane sikumoja.
Wanaoteseka ni wafuasi wa Magufuli, chuki zao zinaonekana wazi wazi hapa JF
Sasa nani amuogope mfu? Atasimama kugombea? Au mtachukua fuvu lake kaburini likapigiwe kura?
 
Siasa ndivyo zilivyo na mambo yao waachie wenyewe...
 
Wanaoteseka ni wafuasi wa Magufuli, chuki zao zinaonekana wazi wazi hapa JF
Sasa nani amuogope mfu? Atasimama kugombea? Au mtachukua fuvu lake kaburini likapigiwe kura?
Mnateseka nyie ambao wakati yupo hai mlifyata mikia sasaivi ndio mnatoka povu kaburini.

Niupuuzi kupambana na marehemu kiasi cha kulia.
 
WANA ROHO Mbaya ya Mwendazake
Wenye CCM yao wamekwishaichukua hawana Chama wamehamia kuisema Chadema

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mnateseka nyie ambao wakati yupo hai mlifyata mikia sasaivi ndio mnatoka povu kaburini.

Niupuuzi kupambana na marehemu kiasi cha kulia.
Wakati yupo hai ni kweli yule muuaji alivuruga amani ya nchi na nilimpinga hapa JF.. Lakini sasa hivi kafa, niteseke kwa lipi?
 
Kwanini awamu ya 5 upinzani uliponda sana na sasa wapo kimya kunanini hapo?
 
Wameshindwa kumfufua Magufuli wao sasa hasira zao wanazielekeza kwa yeyote anayetenda kinyume na Dikteta wao.
Watu hawa wapo Stressed and Obsessed na ulinzi wa legacy.
 
Mnateseka nyie ambao wakati yupo hai mlifyata mikia sasaivi ndio mnatoka povu kaburini.

Niupuuzi kupambana na marehemu kiasi cha kulia.
Mkuu hakuna mtu timamu anaweza pambana na kichaa, hata yeye mwenyewe alikuwa anajiita hivyo
 
Wanaoteseka ni wafuasi wa Magufuli, chuki zao zinaonekana wazi wazi hapa JF
Sasa nani amuogope mfu? Atasimama kugombea? Au mtachukua fuvu lake kaburini likapigiwe kura?
Mnateseka nyie ambao wakati yupo hai mlifyata mikia sasaivi ndio mnatoka povu
Mkuu hakuna mtu timamu anaweza pambana na kichaa, hata yeye mwenyewe alikuwa anajiita hivyo
Mtu timamu anaweza kupambana na kichaa,sababu kichaa anauwezo angalau wakujibukitu.
Lakini kichaa tu ndio anauwezo wa kupambana na marehemu sababu kichaa anaweza kupigana hata na majani.
 
Mnateseka nyie ambao wakati yupo hai mlifyata mikia sasaivi ndio mnatoka povu kaburini.

Niupuuzi kupambana na marehemu kiasi cha kulia.
Ulitaka atuuwe nini? (Ukiwa unalima shamba lako ukikutana na nyoka utaacha kuiua) aliwahi toa kauli hii ya ajabu baada ya lissu kutandikwa marisasi yasiyo na Idadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…