Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Mimi naona wanalamba AsaliOk kama wewe ni mpinzani ungepinga nini kwa mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona wanalamba AsaliOk kama wewe ni mpinzani ungepinga nini kwa mama?
Binadamu aliye legelege kiimani halafu ajazwe roho ya mauti ndiyo matokeo ya hao "wanunaji"!Na ukiwapinga mawazo yao watakuita na kutukana matusi na majina yote.Hahahahahaaaanimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana
Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia anakutana na wasaliti wa nchi, kwanza anasafiri hovyo wakati nchi ina matatizo
Pia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alipoachiwa kwenye ile kesi iliyokuwa ikimkabili, wafuasi wa Magufuli walifura sana na wakashindwa kuficha hasira na chuki zao, wakasema Rais anatumia vibaya mamlaka yake kusamehe wahalifu wenye makosa makubwa kama ya ugaidi, wengine wakasema wanataka Sabaya aachiwe pia sababu Mbowe kaachiwa
Juzi pia kwenye mkutano waliofanya na Chadema Ikulu, wakawa wanaponda tena, mara hii wakasema Chadema wamenunuliwa wanaenda Ikulu kila siku, hakuna kuikosoa Serikali tena...
Hawa watu wanaona kama Chadema hawaikosoi Serikali kwa nguvu na wanataka waone Chadema ikiwa aggresive kwa Samia sana, lakini hawa mbona walikuwa wanawapongeza wapinzani kama akina Mrema waliokuwa dam dam na CCM, waliona Upinzani kutoikosoa Serikali ni uzalendo, lakini sasa hivi wanalalamika Chadema kutoikosoa Serikali (japokuwa Chadema wamekuwa wakiikosoa anyway)
Jana kumekuwa na taarifa ya Samia kumlipa mafao yake Tundu Lissu, ambalo ni jambo jema sana ukizingatia aliyopitia Lissu, wafuasi wa Magufuli na hili imewauma sana hadi nimeshangaa, wanaona Samia ni kama anachezea fedha za umma kumlipa mb unge stahiki zake?
Hawa wafuasi ni kwa nini hawapendi kuona kuna haki nchini? kwa nini wana hamu ya kuona watu wanauawa na kuswekwa rumande tu kila mara? hawa watu wana asili ya tanzania kweli? Hawa watu wana hamu ya kunywa damu za watu muda wote?
Kwa roho zile walizokuwa nazo wataacha kuchukia?nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana
Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia anakutana na wasaliti wa nchi, kwanza anasafiri hovyo wakati nchi ina matatizo
Pia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alipoachiwa kwenye ile kesi iliyokuwa ikimkabili, wafuasi wa Magufuli walifura sana na wakashindwa kuficha hasira na chuki zao, wakasema Rais anatumia vibaya mamlaka yake kusamehe wahalifu wenye makosa makubwa kama ya ugaidi, wengine wakasema wanataka Sabaya aachiwe pia sababu Mbowe kaachiwa
Juzi pia kwenye mkutano waliofanya na Chadema Ikulu, wakawa wanaponda tena, mara hii wakasema Chadema wamenunuliwa wanaenda Ikulu kila siku, hakuna kuikosoa Serikali tena...
Hawa watu wanaona kama Chadema hawaikosoi Serikali kwa nguvu na wanataka waone Chadema ikiwa aggresive kwa Samia sana, lakini hawa mbona walikuwa wanawapongeza wapinzani kama akina Mrema waliokuwa dam dam na CCM, waliona Upinzani kutoikosoa Serikali ni uzalendo, lakini sasa hivi wanalalamika Chadema kutoikosoa Serikali (japokuwa Chadema wamekuwa wakiikosoa anyway)
Jana kumekuwa na taarifa ya Samia kumlipa mafao yake Tundu Lissu, ambalo ni jambo jema sana ukizingatia aliyopitia Lissu, wafuasi wa Magufuli na hili imewauma sana hadi nimeshangaa, wanaona Samia ni kama anachezea fedha za umma kumlipa mb unge stahiki zake?
Hawa wafuasi ni kwa nini hawapendi kuona kuna haki nchini? kwa nini wana hamu ya kuona watu wanauawa na kuswekwa rumande tu kila mara? hawa watu wana asili ya tanzania kweli? Hawa watu wana hamu ya kunywa damu za watu muda wote?
SahihiSifa moja kuu ya masikini ni CHUKI
Umemaliza kila kituWafuasi wa magufuli hawawezi kukubali mardhiano ya Mama SSH na wapinzani kwa kuwa ni watu waliolaanika;
- ni uzao wenye kupenda kumwaga damu za wengine bila sababu
- Ni uzao uliojaa chuki na husda za kishetani
- Ni uzao wenye kutaka vita muda wote na sio amani
- Ni uzao wenye kuamini ktk ukabila, ukanda na upendeleo
- Ni uzao uliojaa ukatili, manyanyaso na ubabe wa kihayawani.
Na alisema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Hii kauli Sabaya hawezi kuiamini hata aje Yesu.Rais Samia mwenyewe ni mfuasi wa Magufuli
SSH anajua sana kuishi na wajinga.SSH amewaweza wenye roho mbaya,visasi,chuki na roho za mauti.Teh!Na alisema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Hii kauli Sabaya hawezi kuiamini hata aje Yesu.
Shetani na rafiki zake wanalia,wamekalia misumari
Hawa Sukuma Gang ni wahamiaji haramu waliojivika usukuma,wana roho za kiuaji kama walivyozoea kuuana huko kwao Burundi.nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana
Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia anakutana na wasaliti wa nchi, kwanza anasafiri hovyo wakati nchi ina matatizo
Pia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alipoachiwa kwenye ile kesi iliyokuwa ikimkabili, wafuasi wa Magufuli walifura sana na wakashindwa kuficha hasira na chuki zao, wakasema Rais anatumia vibaya mamlaka yake kusamehe wahalifu wenye makosa makubwa kama ya ugaidi, wengine wakasema wanataka Sabaya aachiwe pia sababu Mbowe kaachiwa
Juzi pia kwenye mkutano waliofanya na Chadema Ikulu, wakawa wanaponda tena, mara hii wakasema Chadema wamenunuliwa wanaenda Ikulu kila siku, hakuna kuikosoa Serikali tena...
Hawa watu wanaona kama Chadema hawaikosoi Serikali kwa nguvu na wanataka waone Chadema ikiwa aggresive kwa Samia sana, lakini hawa mbona walikuwa wanawapongeza wapinzani kama akina Mrema waliokuwa dam dam na CCM, waliona Upinzani kutoikosoa Serikali ni uzalendo, lakini sasa hivi wanalalamika Chadema kutoikosoa Serikali (japokuwa Chadema wamekuwa wakiikosoa anyway)
Jana kumekuwa na taarifa ya Samia kumlipa mafao yake Tundu Lissu, ambalo ni jambo jema sana ukizingatia aliyopitia Lissu, wafuasi wa Magufuli na hili imewauma sana hadi nimeshangaa, wanaona Samia ni kama anachezea fedha za umma kumlipa mb unge stahiki zake?
Hawa wafuasi ni kwa nini hawapendi kuona kuna haki nchini? kwa nini wana hamu ya kuona watu wanauawa na kuswekwa rumande tu kila mara? hawa watu wana asili ya tanzania kweli? Hawa watu wana hamu ya kunywa damu za watu muda wote?
Kazi zipi ewe mfuasi wa ibilisi?2025 wote mtapiga Utan kumpamba Magu ili mpate kura.
Magu amekufa lakini anaendelea kuwanyima usingizi kila siku.
Hapa mnateseka kwa sababu ya kazizake, kazizake ndio zinajieleza na kumbeba.
Kazizake ndio zitawafanya mvurugane sikumoja.